Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,699
- 7,679
Nakukumbusha Tu Doggy hawawezi wala frog hawaweziNi mnyaturu yule! Umejuaje bwana🤣🤣 anauzuri kuanzia sura mpaka figure
Mchapaji hawezi kuja huku kulialia. Hilo ni domo zege la chai jabaIchape mkuu , nikiwa kijana mboga kama hizo silazi damu
Mtego huo ukitia neno tu sahau kuomba chenchi labda uende kula na hela kamili. Mbinu mbadala ni utie nia halafu uhame mgahawaKuna dada wa mgahawa X huwa anapenda sana kunichangamkia ila jana ndo nilijua ya kuwa ameshindlia wezele.. Aisee ana mkia, her butty is on another level...
Jana kavaa dera flani hivi matata, alaf akawa akiingia ndani kuhudumia watu anakuwa ananitupia jicho fulani hivi then lile dera analivuta kwa mbele makusudi, aisee tako wazi wazi...,alaf nilivyomaliza kula na kumpa cash akaniambia "utanila lini na mimi si huwa mnasema mnakula mpaka mpishi?" nilidinda bila kupenda..
Ndugu zangu sisi wanaume tunapitia mengi sana... Wanawake wa namna ile huwa wanajua weakness zetu kwa kweli, nilisha apa kabisa kula wanawake wa mgahawani Hapana kwa kweli, ila huyu nahisi nitaingia dhambini.
Ukiila Tu data One, Jiandae na Kodi imeisha, yaani ni kujitafuta matatizoMtego huo ukitia neno tu sahau kuomba chenchi labda uende kula na hela kamili. Mbinu mbadala ni utie nia halafu uhame mgahawa
Kampige miti ila usisahau kondomI don't care anymore, liwalo na liwe tu
Day One Tu, ndio utajua kama ni Single maza watoto watatu na Kodi imeisha, Mtoto Ada unatakiwa.Hahahaha watu mnajua tahadhari sana...
Kwanini wewe kwani hapo mgahawani hamna wanaume wengine? Ye Kesha kusomaSio kivile mm sio tabia zangu sana ila nimejikuta kwa huyu kama sichomio kabisa.. 😂
Huyu ephen kumbe ni blaza, una mana ndume dah, dunia hii basi huyu atakua anapakwa mafuta mana, anapenda kusema Tako lainiBlaza siku hizi umekuwa muamasishaji mzuri sana😆 hasa kwenye eneo la makebo laini.