Aisee huyu dada wa Mgahawa amezidi sasa

Aisee huyu dada wa Mgahawa amezidi sasa

Kuna dada wa mgahawa X huwa anapenda sana kunichangamkia ila jana ndo nilijua ya kuwa ameshindlia wezele.. Aisee ana mkia, her butty is on another level...

Jana kavaa dera flani hivi matata, alaf akawa akiingia ndani kuhudumia watu anakuwa ananitupia jicho fulani hivi then lile dera analivuta kwa mbele makusudi, aisee tako wazi wazi...,alaf nilivyomaliza kula na kumpa cash akaniambia "utanila lini na mimi si huwa mnasema mnakula mpaka mpishi?" nilidinda bila kupenda..

Ndugu zangu sisi wanaume tunapitia mengi sana... Wanawake wa namna ile huwa wanajua weakness zetu kwa kweli, nilisha apa kabisa kula wanawake wa mgahawani Hapana kwa kweli, ila huyu nahisi nitaingia dhambini.
Hawa Wadada wa Migahawani sijui kwanini hawaoelewi na ni wazuri
 
Hawa Wadada wa Migahawani sijui kwanini hawaoelewi na ni wazuri
Ile pisi kwa kweli hata mm najiuliza iliishiaje kufanya kazi pale..! Nahisi kwa sababu unakuta hana mentality ya kujiona wa thamani, anakuwa doormat tu
 
Back
Top Bottom