Aisee hivi huyu mke ni mzuri?

Aisee hivi huyu mke ni mzuri?

Mkuu ngoja nikae nitulie nisome tena na tena nitakuja kukupa ushauri, kwa maana kila nikisoma naona sielewi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuko wengi nilozan labda mm ndo tatizo kwamba celewi bhana weee!!!! C nikaanza kupita na comments aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] sana
 
Hahaha,nimesoma kidogo tu nkaona sielewi ikabidi ntumie plan B nisome comments labda ntapata kitu kumbe wengi hawajamuelewa.
Aisee Luna vitu vinafutahisha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ww fala kweli ulikuwa unaweza kuandika insha? sasa madem unatongozaje km hata kujieleza huwezi....umekaza mwanzo mwisho odo..odo..atakuwa "chichidodo"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina neno kwenye hii coment
 
Kuna mwanamke ni odo(ma mdogo) yangu siku mbili nyuma kabla sijapost hii aligombana na mtoto wa mumewe ambaye ni mtu mzima na ana mke wake ila wanaishi nyumba moja wote. ambayo nyumba hiyo anaishi odo yangu na mume wake pamoja na mtoto wa mume wa odo yangu na mkewe.
baada ya odo yangu kugombana na mtoto wa mumewe kisa mtoto wa mumewe alimwambia kuwa amevunjiwa mlango na hapo nyumban huwa anabaki odo yangu tu hiyo ndio sababu ugomvi ukaanza hapo.
usiku akamuambia mume wake kuwa mtoto wa mume wake ni mkorofi kwahiyo awezi kuishi naye pamoja kwahiyo akaamua kumwambia mumewe achague kati ya mtoto wake au yeye mmoja aondoke na kabla ya hiyo siku nyuma waligombana na huyo mtoto wa mume mpaka kufikia kupigana na mwisho pia alitaka huyo mtoto afukuzwe ila huyo kijana hakufukuzwa na hatimaye huyo kijana akapata mtoto wa kike na akaamua kujipendekeza na kuamua mtoto kumuita jina la odo yangu ila haija saidia ugomvi hauishi.
je huy odo yupo sahihi kwa maamuzi hayo wakati huyo mtoto ndio ana stahili kurithi hiyo nyumba?
Nenda kwa makonda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom