Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,945
- 193,992
Taratibu unahema sana...
Mama yako mdogo ana mume...
Mume wake ana mtoto wa kiume mkubwa... ambae wanaishi wote nyumba moja...
Huyo mtoto wa kambo mkubwa nae ana mke, lakini wote wanishi hapo hapo...
Kwa hiyo hapo kuna mama yako mdogo, mume wake, mtoto wa mume wake (kwa mama mdogo ni wa kambo) na familia ya mtoto wa kambo (mtoto wa mume wa mama mdogo)
Huyo mtoto wa kiume tayari anafamilia yake, anakaa hapo kufanya nini... ahame.. mambo ya kurithi ni mpaka wazazi wafariki...
Cc: mahondaw