Aisee hivi huyu mke ni mzuri?

Aisee hivi huyu mke ni mzuri?

Hivi inakuwaje mmwanaume mzima kbs na kengele zako mbili zinaning'inia inafikia umri wa kuoa hadi unamzalisha mkeo bado umeng'ang'ana tu upo nyumbani kwa mzazi wako?!!!!!!???????? Ni aibu kubwa sana hiyo! Yaani mama yako na baba yako wanashindwa hata kuwa huru kwasababu yako ww na midevu yako hata aibu huna! Katafute kwako - eti kurithi nyumba!? Yaani mwanaume timamu kbs na akili zako umekaa unasubiri urithi? Kazi ipo kwakweli
 
Mkuu ngoja nikae nitulie nisome tena na tena nitakuja kukupa ushauri, kwa maana kila nikisoma naona sielewi.
Wala usihangaike mkuu,sana sana utaishia kuumwa na kichwa ukashindwa kusherehekea pasaka.
 
Mpaka tukuelewe utakua umeshatutoa kapilau kitu ka sikukuu, nitarudi kesho nisome sahivi unanitia njaa tu
 
Kuna mwanamke ni odo(ma mdogo) yangu siku mbili nyuma kabla sijapost hii aligombana na mtoto wa mumewe ambaye ni mtu mzima na ana mke wake ila wanaishi nyumba moja wote. ambayo nyumba hiyo anaishi odo yangu na mume wake pamoja na mtoto wa mume wa odo yangu na mkewe.
baada ya odo yangu kugombana na mtoto wa mumewe kisa mtoto wa mumewe alimwambia kuwa amevunjiwa mlango na hapo nyumban huwa anabaki odo yangu tu hiyo ndio sababu ugomvi ukaanza hapo.
usiku akamuambia mume wake kuwa mtoto wa mume wake ni mkorofi kwahiyo awezi kuishi naye pamoja kwahiyo akaamua kumwambia mumewe achague kati ya mtoto wake au yeye mmoja aondoke na kabla ya hiyo siku nyuma waligombana na huyo mtoto wa mume mpaka kufikia kupigana na mwisho pia alitaka huyo mtoto afukuzwe ila huyo kijana hakufukuzwa na hatimaye huyo kijana akapata mtoto wa kike na akaamua kujipendekeza na kuamua mtoto kumuita jina la odo yangu ila haija saidia ugomvi hauishi.
je huy odo yupo sahihi kwa maamuzi hayo wakati huyo mtoto ndio ana stahili kurithi hiyo nyumba?
Odo(mama mdogo) ananyemela nyumba hiyo,huyo mama mdogo wako ndie mwenye makosa anafanya ukrofi ili apate kumpoteza dogo
 
Kuna mwanamke ni odo(ma mdogo) yangu siku mbili nyuma kabla sijapost hii aligombana na mtoto wa mumewe ambaye ni mtu mzima na ana mke wake ila wanaishi nyumba moja wote. ambayo nyumba hiyo anaishi odo yangu na mume wake pamoja na mtoto wa mume wa odo yangu na mkewe.
baada ya odo yangu kugombana na mtoto wa mumewe kisa mtoto wa mumewe alimwambia kuwa amevunjiwa mlango na hapo nyumban huwa anabaki odo yangu tu hiyo ndio sababu ugomvi ukaanza hapo.

je huy odo yupo sahihi kwa maamuzi hayo wakati huyo mtoto ndio ana stahili kurithi hiyo nyumba?
Hapo tu ushanivuruga
 
  • Thanks
Reactions: a45
Hahaha,nimesoma kidogo tu nkaona sielewi ikabidi ntumie plan B nisome comments labda ntapata kitu kumbe wengi hawajamuelewa.
 
  • Thanks
Reactions: a45
Odo???..hili jina limekaa kishoga shoga na umbea mwingi!..ndo kwanza nalisikia!
 
Kuna mwanamke ni odo(ma mdogo) yangu siku mbili nyuma kabla sijapost hii aligombana na mtoto wa mumewe ambaye ni mtu mzima na ana mke wake ila wanaishi nyumba moja wote. ambayo nyumba hiyo anaishi odo yangu na mume wake pamoja na mtoto wa mume wa odo yangu na mkewe.
baada ya odo yangu kugombana na mtoto wa mumewe kisa mtoto wa mumewe alimwambia kuwa amevunjiwa mlango na hapo nyumban huwa anabaki odo yangu tu hiyo ndio sababu ugomvi ukaanza hapo.
usiku akamuambia mume wake kuwa mtoto wa mume wake ni mkorofi kwahiyo awezi kuishi naye pamoja kwahiyo akaamua kumwambia mumewe achague kati ya mtoto wake au yeye mmoja aondoke na kabla ya hiyo siku nyuma waligombana na huyo mtoto wa mume mpaka kufikia kupigana na mwisho pia alitaka huyo mtoto afukuzwe ila huyo kijana hakufukuzwa na hatimaye huyo kijana akapata mtoto wa kike na akaamua kujipendekeza na kuamua mtoto kumuita jina la odo yangu ila haija saidia ugomvi hauishi.
je huy odo yupo sahihi kwa maamuzi hayo wakati huyo mtoto ndio ana stahili kurithi hiyo nyumba?
ww fala kweli ulikuwa unaweza kuandika insha? sasa madem unatongozaje km hata kujieleza huwezi....umekaza mwanzo mwisho odo..odo..atakuwa "chichidodo"
 
  • Thanks
Reactions: a45

Similar Discussions

Back
Top Bottom