MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 405
- 281
Aaah, kweli duniani hakuna kitu cha bure, hatimaye huduma ya HAKATWI MTU HAPA yapotea kukatwa kama kawa. NARUDI NYUMBANI
Bado sijaelewa hapa, ni katika huduma za mawasiliano au airtel money?
Mweh... Hii imeanza lini make jana tu jioni nimetumia huduma ya airtelmoney sijakatwa!!
Me nilikuwa najiunga na kifurushi cha mwezi 19999 napata sekunde 650 lakini juzi nilijiunga nikapata sekunde 425 du narudi kwetu Tigo.
Mweh... Hii imeanza lini make jana tu jioni nimetumia huduma ya airtelmoney sijakatwa!!