Wait nijaribu kukutumia hela nione kama nitakatwa. Namba yako s ile ile?
Aaah, kweli duniani hakuna kitu cha bure, hatimaye huduma ya HAKATWI MTU HAPA yapotea kukatwa kama kawa. NARUDI NYUMBANI
Karibu Voda ni mtandao usioyumba, Mara celtel zain na sasa airtel.
Mweh... Hii imeanza lini make jana tu jioni nimetumia huduma ya airtelmoney sijakatwa!!
Wanasema tuma hela kwa 'nusu bei', sijaelewa hiyo bei ni ipi ambayo utakatwa nusu, inabidi wawe wazi zaidi waache kutuzuga
Yakhee UMEKATWA!!!. Basi vumilia utazoea tu kwakua ni mara yako ya kwanza lazima ikuume. Pole kwa kupenda bure hakuna mfanyabiashara anaetoa huduma lazi ukatwe kiaina hakuna bureAaah, kweli duniani hakuna kitu cha bure, hatimaye huduma ya HAKATWI MTU HAPA yapotea kukatwa kama kawa. NARUDI NYUMBANI
"Competition" ni nzuri sana na MONOPOLY ni mbaya sana.....Imagine TANESCO wangekuwa na competitor!
Inawezekana kweli yote yana madhara lkn wakati wote tunaangalia wapi kuna madhara zaidi ya kwingine. Hayawezi kuwa sawa yoteNdugu yangu, yote yana madhara kama watafanya ushindani wa kibiashara kila mmoja kivyake lakini usishangae wakapatana bei ili kutuibia kama makampuni mengine ulaya, kwani wanafikishwa mahakamani kwa price fixing kila leo.
Wait nijaribu kukutumia hela nione kama nitakatwa. Namba yako s ile ile?
Aaah, kweli duniani hakuna kitu cha bure, hatimaye huduma ya HAKATWI MTU HAPA yapotea...