patrickcharles
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 534
- 286
Ukianza kwa kushangiliwa jiandae na kuzomewa.
Me nilikuwa najiunga na kifurushi cha mwezi 19999 napata sekunde 650 lakini juzi nilijiunga nikapata sekunde 425 du narudi kwetu Tigo.
Wait nijaribu kukutumia hela nione kama nitakatwa. Namba yako s ile ile?
Mweh... Hii imeanza lini make jana tu jioni nimetumia huduma ya airtelmoney sijakatwa!!
Aisee! Kweli hatoki mtu hapaWanamaanisha kuwa kama mitandao mingine wanakata 1000 kwa kiasi kile kile wao wanakata 500. HATOKI MTU HAPA
Karibuni voda au tigo tulijua tu mtarudi. Milijifanya hamkatwi sasa kila mtu atakatwa.
Nyie mtaishije bila kukatwa? poleni sana
voda,tigo s ktu kwa upande wa airtel.sh 50 ndogo ukfanansha na wanayokata mitandao mingne...mara 600 mara 750.boooooooooooooooooKaribu Voda ni mtandao usioyumba, Mara celtel zain na sasa airtel.