Kuna mzungu anayedai kuwa mtaalamu wa IT (GEEK)kwa zaidi ya miaka 17, this week alipost kt Arusha mailing list findings zake.Na jinsi alivyowakilisha ushahidi wake Aritel na IT guys pale walikubali kuwa ndio hivyo, kasheshe ikaja alipodai malipo yake, na alipotaka ongea na watu ktk mtiririko wa uongozi wakamwambia hawezi pewa emails(utaona jinsi gani watu wa chini wanavyokuwa na woga kiasi cha kushindwa hata kuwakilisha wenyewe malalamiko yao kabla hawajaja shtakiwa na kudaiwa malipo makubwa),wala simu za wakubwa kwa vile hairuhuruhusiwi. Kanunua 3GB ila kitumia 1.02GB hela inaisha.
Anasema alihisi hivyo akaweka special monitoring software na akamonitor na kuthibitisha hilo.ktk Arusha mailing list alisema kuwa angepost ktk Arusha Times this week.Sijui watakuwa tayari kuwalipa wabongo?Ila wengine hawana voucher walizotumia na serikali inaweza isiwe na access kwa database yao yote km jamaa wamejipanga kuwa double system.
Hii si mara ya kwanza hata kwa mimi Kuanzia TTCL,VODA,AIRTEL, etc nimejaribu disable update za anti virus,windows, mozilla, media player etc pamoja na kutodownload email, ktk gmail natumia basic HTML ili pasiwe AJAX activities ila ngoma inakata wese vilevile. So unless mpo ktk promotion ila msiwaamini sana watoa huduma hawa ktk nchi ambayo haina uwezo wa kusimamia na kufuatilia mapato na ulinzi wa mtumiaji.
Hata ktk simu mara kibao voda wanafail kutuma sms ktk number iliyopo hewani wanarudisha failed msg huku wamekata hela, mara nyingi nahesabu muda niliotumia ktk last call na amount of money iliyokatwa. Unakuta umelimwa hel nyingi sana+VAT tofauti na rate halali.Sijui ndio kulipiza promotions zao zinazolenga kukimbizana na mziki w TIGO amabyo ndio imekuwa ikisukuma kupunguza bei za promo kila kukicha?
NASHAURI KUACHANA NA HIVI VIFURUSHI,KM HUHITAJI MOBILITY BORA ULIPIE FLAT RATE HATA KM SPEED NI NDOGO ILA HUNA SHIDA YA KUHOFU KUWA KIFURUSHI KINAYEYEYUKA.speed itakuwa si kihivyo ila ni safe.Ila usipende jua km watabaki na byte kipindi hutumii sana. OTHERWISE nunua software km ya mzungu au uwe na calculator kabla hujaanza surf na ujue ukubwa wa kila page na download bytes zisiishie njiani...Haha