Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

Bharti Airtel wameamua kurudisha bundle hiyo nzuri kwani walichukua uamuzi mbaya tangu 01 March kuweka bundle mpya za ajabu ajabu kwa kurudisha ni vizuri.Tulishindwa kujiunga na customer care wao hawajui kama kuna mabadiliko na kuna mfumo mpya kama mitandao mingine kwa kujiunga kwa kutumia menu unapiga *154*04# .Hiyo ya Vodacom kwa mb 100 kwa 500/= unajiungaje?Cheka internet zao zipo slow mpaka zinaboa.
 
Pumbavu nilikuwa nawafuata Ofini kwao Haahahahaha nimeghairi naenda Kuunga bando sasa hahahahaha
 
Kiukweli walipandisha gharama kwa kiwango cha ajabu.Thanx kama wameshusha!Nadhani hawakyfanya research ya kutosha.
 
Duh!duka liko wapi nikanunue vocha?we dogo kalete vocha ya buku 3 fasta ya airtel!good news.
 
Kampuni ya Airtel leo imekuwa sikivu na kurudisha huduma ya internet ya bei nafuu iliyokuwa inatumiwa na wengi na kupendwa sana ya 400MB - 2500/- waliyoifuta tarehe 01.03.2012.Hii imekuja baada ya malalamiko mengi ya wateja wao.
 
Airtel leo imerudisha huduma ya internet ya bei nafuu iliyoifuta 01.03.2012 baada ya malalamiko mengi ya wateja wao,hii ni ile ya 400MB - 2500/- haya wachovu wenzangu kelele zenu zimesikika enjoy cheap internet connection.
 
acha masihala mkuu sosi yake..
Mwenzenu niko njia panda...voda yangu ambayo daima ni slow haifanyi kazi mitaa ya kongowe ya mbagala nilikoweka makazi. Huwa naitumia nikija mjini tu. Natafuta net ya maana yenye speed nzuri na cheap kwa monthly bundle itakayoweza kufanya kazi mpaka huku kijijini. Budget yangu ya mwezi haizidi 30,000/-. Ushauri please
 
Ni kweli wamerudisha ,naona pia wameona hizo siku mbili walizopandisha imekula kwao,kwa kukosa wateja kibao,wametikisa kiberiti wamekuta njiti zimejaa,haya sasa tuendeleee
 
Mwenzenu niko njia panda...voda yangu ambayo daima ni slow haifanyi kazi mitaa ya kongowe ya mbagala nilikoweka makazi. Huwa naitumia nikija mjini tu. Natafuta net ya maana yenye speed nzuri na cheap kwa monthly bundle itakayoweza kufanya kazi mpaka huku kijijini. Budget yangu ya mwezi haizidi 30,000/-. Ushauri please

kama kweli imerudi tumia airtel mkuu ndio simpo kuliko voda..
 
Mwenzenu niko njia panda...voda yangu ambayo daima ni slow haifanyi kazi mitaa ya kongowe ya mbagala nilikoweka makazi. Huwa naitumia nikija mjini tu. Natafuta net ya maana yenye speed nzuri na cheap kwa monthly bundle itakayoweza kufanya kazi mpaka huku kijijini. Budget yangu ya mwezi haizidi 30,000/-. Ushauri please

Amia huku! Unangoja nn huko?
 
You have sent a wrong Word. Choose one of the following Words. DATASIKU, DATAPLUS, DATAWIKI, INTERNET, FULLDATA, DATA90, DATA365, DAY, WEEK, MONTH or BALANCE to 15444, or dial *151*44#.

wameshabadilisha kweli wamerudisha thanks mkuu ndicho walichojibu hicho hapo
 
Mi nimenunua ya 15,000/- huwezi jua hawa wahindi wanaweza kuifuta tena nilichoka kununua 50MB kwa 2000/- kwa siku nne.
 
SAAAAAAAAAAAAAFIIII huo ndio ustaarabu katika biashara yenye kujali matakwa chanya ya watumiaji huduma.
Jahazi la Airtel lilizama kwa hizi siku mbili walizoongeza bei ya bundle,ikawa imekula kwao,wamerudisha si kwa matakwa au kilio cha watumiaji bali baada ya kuona wanapata hasara na pia baada ya kuona wapinzani wao kibiashara walikuwa wako mbioni kutoa bundle kwa unafuu zaidi,
 
mzuka sana nimeipata iyo leo jion...
nilikua nimechizi hapo mwanzo...et MB 400 ingetakiwa iwe buku kumi...
 
Back
Top Bottom