Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

support wpn

Senior Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
152
Reaction score
14
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde airtel wamerudisha kifurushi(bundle)cha 400m kwa 2500tsh na vifurushi(bundles) vingine vya zamani naomba kuwakilisha
 
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde airtel wamerudisha kifurushi(bundle)cha 400m kwa 2500tsh na vifurushi(bundles) vingine vya zamani naomba kuwakilisha
umezipata wapi? je umejaribu kujiunga nahiyo bandle?
aaah mnatuzingua tu nanyie!
 
Vipi na ile airtel Free bundle 200MB every night?
 
Nimetry kuconnect kwa 400m imenikubalia na sms nimeipata ya kuniataka radhi
 
Ni kweli nimejaribu kupitia namba yao mpya ya *154*44# bundle yetu ya 400MB imerudishwa na bundle nyingine za zamani, zile mpya zote wameondoa ..........tunawashukuru kwa kusikia kilio chetu AIRTEL kama mpo humu pelekeni ujumbe wetu
 
Yah ni kwl just weka 2500tshs katika line yako ya Airtel na tuma msg
Internet kwenda 15444 na utaunganishwa na mb 400 mara moja apo apo.. ENJOY UR WEEKEND GUYS! 😛oa
 
Haha!It's so true,nimetoka kuiweka now imekubali kuunga kama kawa!Rudisheni virago kweny basi jekundu!
 
haaaahaaa boraa aisee hz cku mbili wameipata pata
 
Yaani jana wamenikomba 6000/= kwa bundle ya 150mb! Itabidi nikate rufaa!
 
hakika nadhani wameona wadau wakihaha kurudi kwenye bito na bajaji na hatimaye wameshtuka kumbe vocha nyingi zinatoka kwa ajili ya internet. wana jf hamia basi jekundu
 
Kwahiyo tunalichaji kwenye modem zetu kama kawaida au inabidi utowe line kwenye modem halafu uiweke kwenye simu ndio uricharge then ujiunge na bundle ya Internet halafu ndio unarudisha line kwenye modem au inakuwaje?
 
Yah ni kwl just weka 2500tshs katika line yako ya Airtel na tuma msg
Internet kwenda 15444 na utaunganishwa na mb 400 mara moja apo apo.. ENJOY UR WEEKEND GUYS! 😛oa

Nahisi ni danganya toto. Ghafla wanaweza kupanda kinomaaaaaaa......
 
Haha!It's so true,nimetoka kuiweka now imekubali kuunga kama kawa!Rudisheni virago kweny basi jekundu!

Itakuwa habari njema kwa watumiaji wa internet maana nilihisi nitashindwa kuingia JF.
 
SAAAAAAAAAAAAAFIIII huo ndio ustaarabu katika biashara yenye kujali matakwa chanya ya watumiaji huduma.
 
Back
Top Bottom