Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

Mi nawashangaa zantel...wao eti bundle kwa mwezi ni 15,000 kwa 700mb....Nahamia zangu airtel hata iko slow ntakomaa
 
Wapuuzi sana hawa. Nilipanga kesho nikanunue Moderm ya Voda!

Ninaungana nawe TUMBIRI, kama wangekuwa wako kibiashara na huduma zaidi wangeliona hili mapema na kulifanyia kazi kuliko kukurupuka na kuleta mkanganyiko huu.Kulikuwa na haja gani ya kubadirisha gharama za huduma na kisha kurudia zilezile za awali???
Sioni sababu ya kuwapa bigup kwani huenda wamerudisha lakini wakatukamata kwenye muda wa hewani.Bado huo ni wizi tu.Wameisha tuonesha rangi yao halisi,si wakuwaamini kabisa.
Walikuja kutuuzuia modem tu, wamepata faida akatika hilo wakasahau wateja wao,utaweka hizo MB400 hutajua zimetumikaje.HOVYO.
 
Walitisha nyau!
"Dear Customer,please be informed that we have returned the old bundles with the same price.Accept our sincerely apology for inconvenience we have"
 
Samahani wadau,hv hiyo 400mb inakuaje?inatakiwa utumie ndani ya siku moja au ni matumizi yako tu?
 
Naona kwa mawazo ya wengi airtel wameamua kurudisha hiyo bundle...!!

Mwenzenu niko njia panda...voda yangu ambayo daima ni slow haifanyi kazi mitaa ya kongowe ya mbagala nilikoweka makazi. Huwa naitumia nikija mjini tu. Natafuta net ya maana yenye speed nzuri na cheap kwa monthly bundle itakayoweza kufanya kazi mpaka huku kijijini. Budget yangu ya mwezi haizidi 30,000/-. Ushauri please
 
Airtel leo imerudisha huduma ya internet ya bei nafuu iliyoifuta 01.03.2012 baada ya malalamiko mengi ya wateja wao,hii ni ile ya 400MB - 2500/- haya wachovu wenzangu kelele zenu zimesikika enjoy cheap internet connection.

oh! Haleluya ngojea niitafute ilipo modem yangu
 
hayo ndo maneno sasa sio walikuwa wanataka kutuletea haari za ajabu
 
Naombeni mnisaidie maana tangu jana nimeshindwa weka bundle Ya airtel inaniletea infometion tofaut ntafanyaje nipate mb400 nashkuruni kwa msaada wenu
 
Naombeni mnisaidie maana tangu juzi nimeshindwa weka bundle Ya airtel inaniletea infometion tofaut ntafanyaje nipate mb400 nashkuruni kwa msaada wenu
 
hapo zamani ulikua unaweza kununua? kama hujui tuma neno intert kwenda 15444 then ufata maelekezo
 
Mkuu huna habari hiyo bundle imeshafutwa? Naona wewe unaweza kuwa bado uko Tanganyika!
 
Back
Top Bottom