afadhali kama wamerudisha, ingekula kwao kwani watumiaji wa internet yao sehemu kubwa ni wanajf. bado tanesco sasani kweli hata mimi nimenunua kama zamani na imekubali.
Wangeolewa na voda wasingerudisha hii bundle maana voda tangu juzi mb 100 kwa mia5 raha kweikwei!avache sana voda