Airtel sasa wameanza kuvuruga mfumo wao wa biashara..

katoto22october

JF-Expert Member
May 9, 2019
276
260
Habari wadau

Airtel sasa wameanza kuvuruga mfumo wao wa biashara.. Airtel matangazo mengi kwa maana ya promo na sasa mmefikia hatua mmeanzq kuharibu biashara.. yaan imefikia hatua mmeanza kumpangia mtu matumizi ikiwa kipato cha kupata huduma kutoka kwenu ni cha kwake na kifurushi anachokihitaji ni kulingana na mfuko wake.. nimeona hili la sms kwa siku hutakiwi kutuma sms zaidi ya 100 kwa siku moja.

Kweli kwa hatua hii tutafika? Vifurushi mvitangaze wenyew then katika hiyo huduma muanze kumpunja mtu ikiwa tayar kashafanya muamala wa kununua kifurushi icho.. hii ni kupangiana matumizi sasa
SASA NAONA KIFUATACHO NI KUTUPANGIA NA MATUMIZI YA INTANETI PAMOJA NA DAKIKA ZA KUPIGA... SHAME ON YOU KWA HILI
airtel hii iwafikie
 
Back
Top Bottom