Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

Habari za jioni wakuu, Naomba mnisaidie hivi kifurushi chetu pendwa mtandao wa Airtel cha mb 400 kwa Tsh 2500 kimefutwa? sababu nimekuwa nikituma neno internate kwenda namba 15444 muda mrefu sana napata meseji hii

" Neno ulilotuma sio sahihi, Tafadhali chagua kati ya :- 25MB, 150MB, 250MB, 500MB, 1GB, 2GB, 3GB, 5GB, 8GB, 15GB, 20GB, INTERNET, SIKU, SAA, WIKI, MWEZI ama SALIO kwenda 15444,au piga *154*44#.Asante."

Sasa Nakosea jinsi ya kusajili hicho kifurushi au
.
cheki na neno. Mimi nimejiunga leo na nikapata 400mb, jaribu kuandika neno Internet uone matokeo yake.
The unseen is illustrated by the seen.
 
No Hakijafutwa! Unachotakiwa kufanya ni Kununua Vocha ya 2500 na uwe unakiwango kidogo cha Credit Kwenye laini yako. Mfano Tsh 50 n.k.. Halafu Tuma neno INTERNET kwenda 15444. Mimi nimejiunga Jana

Asante sana mkuu hatimaye nimepata kumbe hadi uwe na salio la ziada kidogo.
 
mbona mimi namwemwereka tu na hiko kifurushi tena nimeunga sasa hvi, labda line mpya mkuu
 
Tatizo ulukuwa unakosea speling za nano "internet" badalayake umeandika interna.te

Inawezekana nilikosea lkn nikaja kupatia nimepata kifurushi nila nina line mpya inawezekanandio maana ina sumbua sana. asante.
 
:flypig: Jamani wana jf naomba kuuliza kifurushi cha internet cha airtel cha 2500 bado kipo au kimeondolewa najaribu kujiunga inakataa.
 
wamekiondoa hata kwangu hakipo sasa hv napata MB 250 kwa 2500 kama unaona kinagoma kwa neno internet bonyeza *154*44# yaani hawa jamaa nawashangaa sana badala ya kuongeza MB wao wamepunguza ingawa nasikia kwa baadhi ya line bado hawajaondoa hiyo ya MB 400 ila tulio wengi zimepungua mpaka 250
 
wamekiondoa hata kwangu hakipo sasa hv napata MB 250 kwa 2500 kama unaona kinagoma kwa neno internet bonyeza *154*44# yaani hawa jamaa nawashangaa sana badala ya kuongeza MB wao wamepunguza ingawa nasikia kwa baadhi ya line bado hawajaondoa hiyo ya MB 400 ila tulio wengi zimepungua mpaka 250

Nchi ya wachakachuaji
 
naomba msaada jinsi ya kupata kifurush cha mb400 kwa 2500 kwa 30dys. AIRTEL.Nimejaribu kutuma INTERNET KWENDA 15444 Ikataa nisaidien jaman!
 
Jaribu tena utapata ila hakikisha kuwa una zaidi ya 2500.
 
Back
Top Bottom