Ninazaidi ya 2500 likwanda,ngoja nijaribu tena kwani line 1 imekubali ila nyingine ndio haikubali.
Mimi ninavyofahamu, 400mb itakubali kama ulisha wahi kutumia kifurushi hiki kabla ya 1-1-2012.
Ninazaidi ya 2500 likwanda,ngoja nijaribu tena kwani line 1 imekubali ila nyingine ndio haikubali.
naomba msaada jinsi ya kupata kifurush cha mb400 kwa 2500 kwa 30dys. AIRTEL.Nimejaribu kutuma INTERNET KWENDA 15444 Ikataa nisaidien jaman!
kweli kabisa mi nilijiunga bundle 4 za MB 400 kwa elfu kumi, nimetumia only a week now zimeisha bundle 2 it means 5000 imeisha, nimedownload kidogo miziki yenye ukubwa wa mb 3-6 tu, hata mimi nina mashaka naoHii huduma imekuwa ni ya wizi kwa sasa maana hizo MB zinavyotafunwa huwezi amini
wadau, nikijaribu kujiunga na hii bundle inagoma, inataka nijiunge na ya 150 mb kwa the same price na inaisha within one week... Nimepiga hadi customer care najibiwa hovyo,, nakuombeni mnisaidie wakuu,, nyie kwenu vp???.. Kama wameifuta offer hii niwaachie basi lao bovu nirudi kwenye bito..

Mkuu mbona bado ipo,mi nimejiunga leo tu!weka salio c pungufu ya 2500,kisha andika neno internet tuma kwenda 15444.
Mkuu mbona bado ipo,mi nimejiunga leo tu!weka salio c pungufu ya 2500,kisha andika neno internet tuma kwenda 15444.
basi itakua inagomea baadhi ya watu kama dada sweet lady anavosema... Mimi na ndugu yangu nyumbani tunapoishi wote imetugomea.. Sijui nini tatizo,,, airtell managers kama mnapita pita humu, please mkapate kutusaidia
Wamekataaaaaaaaa.