John locke
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 837
- 1,290
Kwa hiyo sisi tunaotumia moderm mpya za 3G, ndo imekula kwetu?? Aaaaaaarrrrgh!
jamani msaada please hiyo bundle mnatumia kwa siku ngapi
ina expire baada ya mwezi mmoja,
Mbona ukinunua hii bundle unapata 150mb na inaexpire kwa siku 7 tu tupeni ufafanuzi kwa anayejua.
umenunua kwa mtindo upi? mie jana nimenunua tsh.2500 kwa mb 400
kwa kuchagua malipo ya bundle 2500 au nakosea mkuu nielekeze vizuri.
unakosea, hutakiwi
kufuata menu, ukifuata menu lazima upewe bandle hiyo usiyohitaji na
kumbuka bundle ya mb 400 kwenye menu haipo, hivyo ukiitaka tumia komand
moja kwa moja, yaani andika internet tuma ujumbe huo kwa 15444
sasa hawa airtel wawe makini basi,, kama ni offer kwanini wabague???? Leo ntawafata ofisini kwao nikatoe haya malalamiko,, yatakayojiri ntarudi hapa kuwapa majibu wakuu,,, shukrani nyote
Mimi nina line 2 moja kwa moderm na moja kwenye cm sasa nikiunga hii ya cm inagoma kabisa lakini ile ya moderm inakubali,
Natia shaka labda wana line zao ambazo wanaona zitumie hiyo bundle na nyingine zisitumie kama kuna kitu wana benefit ki biashara labda.
Mkuu mbona bado ipo,mi nimejiunga leo tu!weka salio c pungufu ya 2500,kisha andika neno internet tuma kwenda 15444.