Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Bado ipo hiyo 400 mb kwa sh 2500, kuhusu speed mi kwangu airtel ina speed ambayo sijawahi kuiona.
Speed ambayo hujawahi kuiona ni ipi sasa!? ndogo au speed ya kasi!?Bado ipo hiyo 400 mb kwa sh 2500, kuhusu speed mi kwangu airtel ina speed ambayo sijawahi kuiona.
Tuna internet kwenda namba 15444 afu pia hupati mb 400 utapata mb 200 kwa 2500/=
inafanya kazi mkuu inategemeana na modemu nenda kwenye Airtel menu andika hiyo namba.Mbona wanatoa 400MB kwa tshs 2,500. Hii ndo message yao niliyoipata baada ya kuomba internet toka 15444:
Name:
Number: 15444
Content:
Dear Customer.You have successfully received 400MB.You have successfully received 400MB.You have successfully received 400MB.To view your balance and expiry date,dial *154*44# and follow instructions.Thank you
Time: 30/05/2012 11:16:49
Sijui kama ni kiini macho lakini nadunda na hizo 400MB kama kawaida
ofcourse hiyo *154*44 reli haifanyi kazi - we komaa kuulizia salio kwa ku sms SALIO kwenda 15444.
inafanya kazi mkuu inategemeana na modemu nenda kwenye Airtel menu andika hiyo namba.
Hiyo line ni mpya?Habari za jioni wakuu, Naomba mnisaidie hivi kifurushi chetu pendwa mtandao wa Airtel cha mb 400 kwa Tsh 2500 kimefutwa? sababu nimekuwa nikituma neno internate kwenda namba 15444 muda mrefu sana napata meseji hii
" Neno ulilotuma sio sahihi, Tafadhali chagua kati ya :- 25MB, 150MB, 250MB, 500MB, 1GB, 2GB, 3GB, 5GB, 8GB, 15GB, 20GB, INTERNET, SIKU, SAA, WIKI, MWEZI ama SALIO kwenda 15444,au piga *154*44#.Asante."
Sasa Nakosea jinsi ya kusajili hicho kifurushi au ndio kimefutwa??
Naombeni msaada wakuu.
Hiyo line ni mpya?
Itakuwa kimefutwa maana ktk hizo option hapo hakuna chenye kuonyesha 400MB
Line ya Airtel mkuu au huifahamu?
Itakuwa kimefutwa maana ktk hizo option hapo hakuna chenye kuonyesha 400MB
walizuia kwenye line mpya ambazo zina kuja na modem za TZS 30,000 lakini ukijaribu kutumia line za zamani ina kubali sijui kama ni kwangu tu...
hahaah, swali langu ni mpya? nimetoa maelezo hapo juu maana nami ilinitokea lakini nilipo jaribu kutumia line ya zamani ikakubari....
No Hakijafutwa! Unachotakiwa kufanya ni Kununua Vocha ya 2500 na uwe unakiwango kidogo cha Credit Kwenye laini yako. Mfano Tsh 50 n.k.. Halafu Tuma neno INTERNET kwenda 15444. Mimi nimejiunga Jana