Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

ME NILINUNUA 400MB KWA 2500, NILINUNUA KAMA PACKAGE 3 SO NINA KAMA 1.**Gb HIVI IN CASE WaKiPaNDIshA GHALAMA, NA. HIYO ILIKUA May 26,
 
wameishusha lakini kutoka mb 400 hadi mb 250 kwa 2500 tuma neno internet kwenda namba 15444 wakikuzingua usijali subiri kisha tuma tena baadae hadi itakubali

sio kweli bado ipo na inafanya kazi bila shida mi nimeweka dk chache zilopita
 
hahahahaha my wi nilikumis pia nipe habari za braza maana siku hizi tunaonana kwa darubini

mbona mie nimenunua mb 400 kwa 2500 tarehe 28.05.2012
Subiri uone matumizi yake kama utavuka Tarehe 1 mwezi wa 6. Airtel kwa sasa ni kimeo hamna kitu, kama kuna mtu ana mpango wa kununuwa modem ya airtel tuwasiliane anirudishie nusu hasara, nataka kuamia mtandao mwingine. na je mnaonaje speed ya airtel mkiingia JF?
 
Nime kupm mkuu, na ilo swala la kuperuzi jamiifourms na Airtel kuwa slow ata mimi nime experience ilo swala
 
Hakikisha unaponunua hiyo bundle kusiwe na bundle ambayo imebaki ktk account yako kabisa. Hata zikibaki 2MB kamwe huwezi kuunganishwa na bundle mpya.
 
Subiri uone matumizi yake kama utavuka Tarehe 1 mwezi wa 6. Airtel kwa sasa ni kimeo hamna kitu, kama kuna mtu ana mpango wa kununuwa modem ya airtel tuwasiliane anirudishie nusu hasara, nataka kuamia mtandao mwingine. na je mnaonaje speed ya airtel mkiingia JF?

sijajua ngoja ifike hiyo tarehe lakini kwa sasa natumia kwenye LT ipo poa sana lakini kwa simu kuingia JF kasheshe hahahahahah hapo kwa kurudishiwa nusu sahau labda umpe bure lol
 
There is no free lunch gal, ila kama unatumia Laptop na speed iko bomba basi something is not normal in airtel.
 
Hakikisha unaponunua hiyo bundle kusiwe na bundle ambayo imebaki ktk account yako kabisa. Hata zikibaki 2MB kamwe huwezi kuunganishwa na bundle mpya.

SIO KWELI Me NINAZO 3 ZINAFUATANA!!
 
Sijapata wahi kuona eti mimi ninazo 3 zinafuatana haikubali kufanya hivyo mpaka uliyoweka ya kwanza iishe.Usidanganye watu hapa nenda fb ndo kawadanganye kule

KWELI KABISA MM NINAZO 4 za 400MB
 
Sijapata wahi kuona eti mimi ninazo 3 zinafuatana haikubali kufanya hivyo mpaka uliyoweka ya kwanza iishe.Usidanganye watu hapa nenda fb ndo kawadanganye kule

USIBISHE Kijana NAZO 3 BILA CHENGA
 
Sijapata wahi kuona eti mimi ninazo 3 zinafuatana haikubali kufanya hivyo mpaka uliyoweka ya kwanza iishe.Usidanganye watu hapa nenda fb ndo kawadanganye kule
ANGALIA HII SCREENSHOT NDO UTAAMINI NA Hapo YA KWANZA IMEISHA
c5fad5af-23b1-00c3.jpg
 
Aache kubisha vitu ambavyo hajajaribu..kabla ndo ilikua haikubali bt kuanzia walipoleta hii system ya *154*44# u can subscribe to the same bundle multiple times..voda walikua wanasupport hyo kitu mwanzo bt now hamna.
 
Subiri uone matumizi yake kama utavuka Tarehe 1 mwezi wa 6. Airtel kwa sasa ni kimeo hamna kitu, kama kuna mtu ana mpango wa kununuwa modem ya airtel tuwasiliane anirudishie nusu hasara, nataka kuamia mtandao mwingine. na je mnaonaje speed ya airtel mkiingia JF?

Utaniuzia ngapi io modem ??? Pm me
 
hahahahaha my wi nilikumis pia nipe habari za braza maana siku hizi tunaonana kwa darubini

mbona mie nimenunua mb 400 kwa 2500 tarehe 28.05.2012

Braza ako hajambo kabisa....majukumu ya hapa na pale ndio yanamuandama ila yuko poa usijali....huezi amini hawa airtel juzi kuamkia jana walinitumia text eti sasa hivi 2500 ntapata mb 200....yaani kidogo nilie ila nikajipa moyo kuwa hata hizo 200 si haba lol...cha ajabu na cha kushangaza jana nikaishiwa .. nikaweka elfu 3 nikanunua wakanipa mb 400 kama kawa tehe tehe!!!!!...
Blaki Womani my only wifi, karibu nyumbani this week end....Kama utakuja nijulishe nijipikilishe machalari ya ukwee!...mbege pia itakuwepo...
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye machalari duuuuu za kuchemsha na kiti fire uweke mbege yesuuuuu nakuja kesho mkoloni namweka pembeni niambie nikusubiri wapi Preta asijui................. furahia 400mb wera wera
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom