Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

Hawa jamaa wamebadili offer hiyo ya bundle. kwa sasa T.sh 2500 ni 150MB tu. kwa cku saba. ile offer ya zamani haipo tena. Ila speed inasumbua sana iko very slow. kwa wastani ina bore kutumia.
 
duh,kama itakuwa imeisha kwisha habari yangu. kwani bundlle yangu yaisha next week
 
hii bundle imeachwa iendelee kuwafaidisha waliokuwa wanatumia toka zamani. Kama hukuwahi kuitumia saizi lazima ikugomee.
 
Wakuu jaribu kifushi cha siku kwa jero 5 tu unapata MB 50 hakikisha unachagua kwa muda full kujiachia *154*44#
 
Nilipiga customer care airtel kuwauliza kama hili bando la Mb 400 kwa tsh 2500 limefutwa, wakasema kua limefutwa , kwa sasa hivi unapata MB 150 tu kwa tsh 2500 , niliumwa!
 
Nilipiga customer care airtel kuwauliza kama hili bando la Mb 400 kwa tsh 2500 limefutwa, wakasema kua limefutwa , kwa sasa hivi unapata MB 150 tu kwa tsh 2500 , niliumwa!

Mbona hata sasa nimejiunga?,kwa sisi wenye modem za zamani mf.huawei mobile broadband model.e1550.tunafaida tu.
 
Ni kweli hii huduma inawagomea watu wengi kwa sasa.....mimi wiki yote najaribu kujiunga inagoma

Hiyo bundle bado ipo ila ni kimya kimya sana kwa hawa operators, wana ifanya siri ili tuingie mkenge kwenye zile za bei kali kama hii ya 500/= kwa siku! Ni wizi mtupu Aitrel huko! Sasa cha kufanya ili kuipata hiyo bundle ya 400MB, ni lazima uwe na salio la 3,000/= au zaidi kisha ingia kupitia 15444 as usual. Endelea na all the best!
 
Jamaa wa Airtel mbona hawasemi kama kile kifurushi cha Mb400 kinapatikana kwa bei gani sasa hivi? au wameondoa..:bange:... kama ni hivyo tuhamie kwengine
 
andika neno internet kisha tuma kwenda 15444 kumbuka ni kwa laini iliyotumika kuanzia miezi mitatu nakuendelea hii ni kwa utafiti wangu..
 
pilao najua leo ni idd unafikiri bila kuanzisha uzi huu wangejuaje nahuku jf umo?
 
niliwafuata mpaka ofisini, wakaniambia hicho kifurushi sio properly registered katika offer zao, soo wanaoweza kukipata wengi ni wale wateja wa zamani, na wasibadilishe simu... Mimi nlikua nakipata kila wakati, nikachange simu kununua simu mpya kinanigomea,, soo it is very selective, and airtell kama airtel hawakirecognise tena... Ndo nlichoambiwa nlivokwenda ofisini kwao jamani... Mjumbe hauwawi, msinishambulie mimi, washambulieni airtel
 
Mimi ninakipata kama kawaida nimekitumia kwa muda mrefu na sijabadili simu labda ndio vigezo vyao kama mchangiaji alivyosema hapo juu.
 
tatizo si simu. mi nimechange sim mara kibao haija goma kabisa na ni mwaka wa nne ss. isitoshe mwnzoni nlikuwa naunga kwny cm isiyo na net then natumia kwenye modem. andika internet kwenda 15444
 
Sidhani kama tatizo ni simu au aina ya modem, hapa kinachoonekana ni kwamba kama wewe ulikuwa unatumia kifurushi hichi toka enzi zile kilipokuwepo kwa line yako ya Airtel basi kwa line hiyo hiyo kama hujabadilisha utaendelea kula maisha kama kawaida
Lakini kwa wateja walionunua line za Airtel wakati kifurushi hichi kimefutwa basi hawataweza kupata kifurushi hicho

Sina hakika kama ulipoteza line na ukirenew kama itakubali au vipi
Lakini pia kuna some cases ambapo hata wateja wa zamani nao inatokea kinagoma mazima

Pole new comers kifurushi hichi ni kwa sisi tuliotoka mbali na chama hili la Airtel
 
Nafikiri kipo kwenye laini za zamani. Maana mimi nimenunua muda huu 400mb kwa 2500tsh
 
Nilipiga customer care airtel kuwauliza kama hili bando la Mb 400 kwa tsh 2500 limefutwa, wakasema kua limefutwa , kwa sasa hivi unapata MB 150 tu kwa tsh 2500 , niliumwa!

Hilo bundle bado lipo na kama linakugomea tumia simu kujiunga kisha rudisha line kwenye modem
 
Ukitaka hii offer uendelee kuipata usije ukasita hata mara moja yani inapoisha unaunganisha, ukiacha siku chache tu basi huwezi kujiunga tena.
 
Back
Top Bottom