Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,172
Kwanini mkuuIsingekuwa wanatoa dakika nyingi za kuongea ningeiacha tu Airtel .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mkuuIsingekuwa wanatoa dakika nyingi za kuongea ningeiacha tu Airtel .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nimehamia juzi asee so fair sana!
Hawa ndo wanajua shida za mtanzania sasa...
Sio likampuni limoja ukiweka bundle tu full kukunyonya, na nimekukimbia wahed!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kennedy haupo kwenye mpango wa Tasaf? au unaogopa kudaiwa ukija kuula huko mbeleni?Sisi Wa Kaya Masikini Hatuoni Unafuu, Waendelee Kupunguza
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,nimetumia karibia mitandao yote ya simu sijaona mtandao nafuu zaidi kwangu kuliko airtel,eeeh mola endelea kuujalia kheri mtandao huu
iko hivi ukijiunga kifurushi saa tatu asubuhi ya leo.. basi kitaisha saa sita usiku ya kesho.
Tatizo ni speed yao ya kinyongaHamjambo wakuu?
Back to the topic,kila siku binadamu hutafuta na namna ya kupunguza gharama katika kila jambo,binafsi katika mawasiliano Mimi ni napenda sana kutumia airtel kulingana na unafuu wanaoutoa katika mawasiliano yao
Leo katika pita pita zangu nimegundua kuwa airtel hakamatiki kwa Tanzania katika vifurushi vya vya dakika za mitandao yote
Angalia hapa ,vifurushi vyote vina thamani ta shilingi 10,000/= kwa mwezi kwa mitandao miwili,hebu tupate toka Vida,zantel ,ttcl nk ili tujue nani zaidiView attachment 1361166View attachment 1361167
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mapinduzi haya natafakari kurudi tigo ikiwa ni baada ya kuwahama kwa miaka 6 sasa.Tigo
wikiView attachment 1361179mweziView attachment 1361180
Airtel watasubili sana na speed yao ya kobe
Kuna kitu sijui kama mmekinnote, kuna baadhi ya sehemu simu yako ikiwa katika setting ya 4g utapata tabu sana, chakufanya kama net iko slow jaribu kuweka setting ya network 3gTatizo ni speed yao ya kinyonga
Wawa fanyie 500 ili wapate faida zaidi[emoji16][emoji16][emoji16]Sisi Wa Kaya Masikini Hatuoni Unafuu, Waendelee Kupunguza
Tigo
wikiView attachment 1361179mweziView attachment 1361180
Airtel watasubili sana na speed yao ya kobe
Man. You are jokingHamjambo wakuu?
Back to the topic,kila siku binadamu hutafuta na namna ya kupunguza gharama katika kila jambo,binafsi katika mawasiliano Mimi ni napenda sana kutumia airtel kulingana na unafuu wanaoutoa katika mawasiliano yao
Leo katika pita pita zangu nimegundua kuwa airtel hakamatiki kwa Tanzania katika vifurushi vya vya dakika za mitandao yote
Angalia hapa ,vifurushi vyote vina thamani ta shilingi 10,000/= kwa mwezi kwa mitandao miwili,hebu tupate toka Vida,zantel ,ttcl nk ili tujue nani zaidiView attachment 1361166View attachment 1361167
Sent using Jamii Forums mobile app
Man. You are joking
5000 dkk mia sms mia mb 100. Hiyo ndio rahisi? Wewe ni mgeni hapa Tanzania?
nenda size yako make sure kwanza unajounga kifurushi chochote cha wiki then wanakubadilishia au susa km nilivyosusa mm wiki nzima sijaweka salio wenyewe wanakubadilishia na wengi tulosusa na kuzifanya laini za kupokelea tu baada kututolea kifurushi cha chuoMbona kwangu mimi tigo gharama ni kubwa? Nyie wenzangu mnatumia line gani?
Vifurushi vya week kwangu [emoji1427]
View attachment 1361471
Internet kwa week [emoji1427]
.View attachment 1361472
Sent from my iPhone using JamiiForums
tena km unanua lain mpya kabisa unaanza ndo kuna ofa bomba kinomaKwa mapinduzi haya natafakari kurudi tigo ikiwa ni baada ya kuwahama kwa miaka 6 sasa.