Ohooo. Ni hawa wezi toka third world. Waliingia kwa pupa sana.
Eti halotel na vodacom wanashindana on level ground and on equal terms???
Ohooo. Ni hawa wezi toka third world. Waliingia kwa pupa sana.
MKUUU HII YA GB 6 KWA MWWEZI INAPATIKANA CODE GANTigo
wikiView attachment 1361179mweziView attachment 1361180
Airtel watasubili sana na speed yao ya kobe
Ohooo. Ni hawa wezi toka third world. Waliingia kwa pupa sana.
Eti halotel na vodacom wanashindana on level ground and on equal terms???
kwhiyo hizi furaha ni za mpito tu?Principal za biashara za mitandao ndio zipo hivyo ili wakue lazima wajishushe kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
MNAPONGEZA UJINGA MKITAKA KUJUA MNAVYOPIGWA WEKA GB ZAKO 10 NOW ZIMA SIMU
USIWASHE SIMU MPAKA KESHOOO SAA MBILI AMA TATU ASBH WASHA SIMU..ANGALIA SALIO LA GB MJUE HAWANA MAANA WOTE HAWA
*148*00#MKUUU HII YA GB 6 KWA MWWEZI INAPATIKANA CODE GAN
Tigo
wikiView attachment 1361179mweziView attachment 1361180
Airtel watasubili sana na speed yao ya kobe
Hamjambo wakuu?
Back to the topic,kila siku binadamu hutafuta na namna ya kupunguza gharama katika kila jambo,binafsi katika mawasiliano Mimi ni napenda sana kutumia airtel kulingana na unafuu wanaoutoa katika mawasiliano yao
Leo katika pita pita zangu nimegundua kuwa airtel hakamatiki kwa Tanzania katika vifurushi vya vya dakika za mitandao yote
Angalia hapa ,vifurushi vyote vina thamani ta shilingi 10,000/= kwa mwezi kwa mitandao miwili,hebu tupate toka Vida,zantel ,ttcl nk ili tujue nani zaidiView attachment 1361166View attachment 1361167
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda size yako make sure kwanza unajounga kifurushi chochote cha wiki then wanakubadilishia au susa km nilivyosusa mm wiki nzima sijaweka salio wenyewe wanakubadilishia na wengi tulosusa na kuzifanya laini za kupokelea tu baada kututolea kifurushi cha chuo
wakarudisha menu hizo nzuri
TIGO PUMBAVU ukiwachekea wanakupanda kichwani mm niliwaacha kwa wiki nikawa natumia HALOTEL hvyo hata sasa wakileta fyoko kwenye hivyo vifurushi naenda halotel 1000 gn 1 wiki
5000 gb 7 wiki
sh 200 dkk 7 mitandao yote mb 80 siku
tigo nikawa napokea tu simu na kusms
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamjambo wakuu?
Back to the topic,kila siku binadamu hutafuta na namna ya kupunguza gharama katika kila jambo,binafsi katika mawasiliano Mimi ni napenda sana kutumia airtel kulingana na unafuu wanaoutoa katika mawasiliano yao
Leo katika pita pita zangu nimegundua kuwa airtel hakamatiki kwa Tanzania katika vifurushi vya vya dakika za mitandao yote
Angalia hapa ,vifurushi vyote vina thamani ta shilingi 10,000/= kwa mwezi kwa mitandao miwili,hebu tupate toka Vida,zantel ,ttcl nk ili tujue nani zaidiView attachment 1361166View attachment 1361167
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hicho cha 1500 kwangu ni 3000
Cha 2500 ni 5000 tu .
Si wangeweka vitu sawa tu kwa kila mtu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje nikupe laini yanguView attachment 1370638View attachment 1370639
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo nikupeAisee ningeipata hiyo laini ingekuwa freshi
Tigo kwangu ni ya kupokea tu pesa .
Sent using Jamii Forums mobile app
ThanksNjoo nikupe
Hata mimi!Nmefunga ndoa na Airtel
TTCL
TSHS 10000 UNAPATA:
TTCL - TTCL DK 1000
MITANDAO YOTE DK 100
INTERNET GB 3.9
SMS 2OOO