Airtel hawakamatiki kwa vifurushi murua

Airtel hawakamatiki kwa vifurushi murua

Mimi nina laini tatu
Aitel,tigo,voda
Sioni utofauti mkubwa sana kila mtandao una ofa zake
Ila Vodacom wanakula sana bando
Nahisi Vodacom ni wezi inajiunga na gb moja haitoboi siku,,, zaidi zaidi utaishia kupewa sms kujulishwa bundle lako kila dakika
 
Ila bando wanatangaza na kukupatia la kutosha,wanajua wanavyoshirikiana na wewe kuhakikisha linaisha ndani ya siku moja...hata kama ulisahau kulitumia,watakusaidia nadhani ilimradi asubuhi uanze upya kununua jipya...la jana lusikuletee shombo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom