mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,662
- 2,325
utaratibu ni kupewa taarifa kila ndege ikiharibika?????
upinzani unapogeuzwa kuwa udaku2[emoji38][emoji38]
Kwa akili hizi CCM itatawala milele..
tutumie nguvu kujadili katiba mpya na tume huru ya uchaguzi... sio umbeya
Ndege brand new namna hii engine kuzima angani si jambo la kawaida kabisa.
'controversial journalist' PDuh...!, ama kweli ng'ombe wa masikini hazai!. Haya ndio madhara ya watu kujifanya tunajua!. Tuliuliza humu kwa nini tununue ndege kwa cash money wakati hata hao nchi matajiri wananunua kwa hire purchase?!.
Sababu pekee ni performance guarantee, kikiharibika kitu chochote, suppliers wana ki replace kwa gharama yao. Ukinunua kitu kwa cash, unalipa pesa kidogo, then kinakuwa chako owned by you 100%, manufacturer anajivua responsibility!. Just imagine the cost!. Juzi juzi niliona ndege yetu ilifanyiwa matengezo makubwa kule South, leo tena hili?!.
Niliwahi eleza humu, huku kukimbilia kununua midege mikubwa ya long haul bila a bussiness plan na kuja kuyarusha domestic routes, tunazitesa bure engines kwa kuzichosha na kuzichakaza!.
Sasa tusubirie taarifa rasmi.
P
Umesoma habari yote? Hii ndege ni toleo jipya. Wamesema hili tatizo limekuwa likitokea kwa ndege nyingine za aina hiyo. Uzuri ni kwamba tatizo linajulikana na kama ni kubadilisha engine basi Airbus ndiyo wabaeba gharama.
We nawe ni mpuuzi. Wataalam wanashangaa kwa nini engine hizo zimekuwa zikifail, wewe usiye na ujuzi unasema ni kawaida.
Kiuhalisia ndege haistahili kuharibika ikiwa inafanya kazi. Kila part ina muda wake wa replacement, kabla ya muda ambao hiyo part inaweza kupata failure. Kwa hiyo kimsingi ndege haistahili kuharibika na wala replacement ya parts huwa haisubiri part ipate failure.
Bidhaa za mitumba zinakuaga Na guarantee kweli?Tatizo letu tumegawanyika kweli kweli mpaka non issues zinageuka major issues. Kwenye aviation sio ajabu engine kuzingua. Tatizo labda ni manunuzi ya hizi ndege, mikataba inasemaje? Isije ikawa hata ikiharibika mapema hivi mzigo wetu
Ndege mpya inaharibikaje kaka?
Kitu kikiwa kipya mpaka kugusa injini ni miaka 5 kwenda mbele....
Vigari tu hivi vya kijapani pamoja na kutumika kwao lkn vikija huku unaweza piga nayo miaka 7 ndo ukagusa injini....
Hiyo ndegw ni mbovu toka huko au service hakuna
Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
mashaka yanaanzia kwenye kununua ndege kwa pesa taslimu. hata mwendawazimu kama Kim au Trump hawawezi kufanya hivyo.
huu mteru sasa........sijui ni cancel flight yangu ya kesho??!!
Mkuu unafahamu maana ya neno Mkweche ?Hizi ndege, mh!!!!!
Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule, ila kuandika habari kama hizi, hawaandiki!!
Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
Hasara waliyoipata wazazi wako ni mara dufu utoaji wa mimba ungeruhusiwaKitu chochote kinachoumbwa na mwanadamu kina kasoro upende usipende, ndege zitaendelea kuanguka na ajali zitaendelea kutokea. uadilifu ndio mwanadamu anatakiwa kufanya. Heko awamu ya Tano kwa kazi nzuri, sisi Watanzania tunaopenda kusafiri bila kukuru kakara tutaendelea kupanda ndege hasa za Air Tanzania ambazo ni za kodi yetu. JPM nunua ndege nyingine Tanzania ni kubwa tulizonazo hazijatosha.
Mkataba wa ununuzi wa ndege ni kitu ambacho kiko complicated na too advanced kwa watu wengi. Nakushauri ujiepushe kuzungumzia hili jambo. Siyo kama kununua bajaji mazee.Kama mkataba wa manunuzi unasema hivyo hilo litawezekana. Ila kwakuwa manunuzi yalikuwa siri hutuna uhakika nani atakuwa muhusika wa kubadili kifaa chenye matatizo.
Hiyo ndege yenyewe ni siasa ndo maana wenyewe wakaipa chapa ya ule msemo wao maarufu wa kampeni wa "Hapa Kazi Tu"Kuharibika kwa ndege nalo ni jambo la kisiasa? Kwa hiyo ndio ndege ya kwanza kuharibika?
Mkataba wa ununuzi wa ndege ni kitu ambacho kiko complicated na too advanced kwa watu wengi. Nakushauri ujiepushe kuzungumzia hili jambo. Siyo kama kununua bajaji mazee.
Hasara waliyoipata wazazi wako ni mara dufu utoaji wa mimba ungeruhusiwa
Ha ha ha haaaaaaa...Kama nyie mnavyofanya sherehe mkishaiba kura.