Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

Basi hujawahi kupanda ndege za kimataifa au ulipanda trip chache sana na ulikuwa bado mshamba, unaona kila kitu ndani ni kizuri.

Mimi usinifananisha na wabongo wanaopanda na samaki/dagaa ndani ya ndege. Wasanii wenu wanaingia na kujipiga selfie na kupost mitandaoni kama sio ushamba ni nini!!!
 
Acha wivu bana.. sema umesahau lini umekwea air Tanzania.

Watu wanapigana vikumbo kukwea air tanzania just kuwaona hawa warembo na kupata huduma zao.

Acha wivu bro[emoji28][emoji28]

Na ww acha mikwara basi, watu wenyewe ni wapi wa kugombania kupanda ndege kuwaona hao warembo? Sana sana utakuta ni wazee wa serikalini ambao hata wake zao ni maclassmate wao waliotoka nao huko bush, hivyo kwao hao flight attendants wanawaona ni vifaa ile mbaya. Hao mabinti ni wazuri kiasi chao, lakini sio eti mpaka watu wafikie kugombania kupanda hizo ndege.
 
Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..

Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.

Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..

Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.

1. Wanalugha nzuri

2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.

3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.

4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.

Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.

Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..

Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.

Wengine wameweka makucha ya bandia.

Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..

Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
Mnapumbazwa ili mje kufa vizuri na hayo majeneza ya CCM
 
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] una utani na watu wewe.
Na ww acha mikwara basi, watu wenyewe ni wapi wa kugombania kupanda ndege kuwaona hao warembo? Sana sana utakuta ni wazee wa serikalini ambao hata wake zao ni maclassmate wao waliotoka nao huko bush, hivyo kwao hao flight attendants wanawaona ni vifaa ile mbaya. Hao mabinti ni wazuri kiasi chao, lakini sio eti mpaka watu wafikie kugombania kupanda hizo ndege.
 
Kila mtu anataka picha...
View attachment 1171907

Huyo wa kulia alinihudumia wine jana, ni mzuri.

Walikuwa na huyu hapa

IMG_20190803_084037.jpg
 
Acha wivu bana.. sema umesahau lini umekwea air Tanzania.

Watu wanapigana vikumbo kukwea air tanzania just kuwaona hawa warembo na kupata huduma zao.

Acha wivu bro[emoji28][emoji28]
Dah....yaani leo wamenishusha kwa nguvu JRO kwa sababu ya mwanya wa Radhia ndani ya Katavi...nilitaka niendelee hadi EBB kikaeleweke [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..

Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.

Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..

Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.

1. Wanalugha nzuri

2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.

3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.

4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.

Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.

Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..

Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.

Wengine wameweka makucha ya bandia.

Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..

Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
Pumbavu hata picha hakuna! Tukuamini vipi?
 
Naomba muambie hao wakwetu wageuke nyuma Tafadhali,au mwenye clip atusaidie!
 
Mimi mwenye napigia mstari, wako vizuri tofauti na enzi zile za any time cancellation
 
Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..

Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.

Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..

Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.

1. Wanalugha nzuri

2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.

3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.

4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.

Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.

Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..

Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.

Wengine wameweka makucha ya bandia.

Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..

Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
Weka Picha tuone Juhudi za Awamu ya 5 ya kutuletea warembo.
 
Hizi ni sifa kama ambazo msiba anampa nanilii!
 
Back
Top Bottom