Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

Mkuu kama una mchumba/mke hapo jua umewaolea wazee wa serekalini. Atakavyohongwa sidhani kama atakataa kutoa kipochi manyoya. Kuna mazee ya serikali yanahonga balaa, na hayajui kutongoza yenyewe ni kuhonga tu.
Hivi bado wapo? Si walisema awamu hii wameisha. Hahahaha ila kujonga ukawa unakula kitu nako kuna raha.

Consuming a purchase luxury good.
 
Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..

Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.

Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..

Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.

1. Wanalugha nzuri

2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.

3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.

4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.

Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.

Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..

Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.

Wengine wameweka makucha ya bandia.

Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..

Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
Kweli kabisa, ni watoto wa Kitanzania warembo hasa, pongezi kwa waliowachaguwa...
 
Let me speak my mind:

1.I hate anything started by Jiwe on anything,therefore
2.I hate ATC admin
3.I hate the planes
4.I hate everything they stand for
5.I hate the colors
6.I hate the air hostesses
7.I hate anything connected to ATC in any shape or form!

Its me,you can love whatever you want!

Thank you!
i'm with you. sometimes it's better to speak the truth instead of being a hypocrite.
 
Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..

Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.

Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..

Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.

1. Wanalugha nzuri

2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.

3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.

4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.

Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.

Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..

Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.

Wengine wameweka makucha ya bandia.

Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..

Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
Hawa Air Hostess wote Ni Usalama na kila Siku sa11 wanachukuliwa pale kijitonyama wanapelekwa kazini..... Nawafahamu wote
 
Kafanana na wakudavadua

unaongelea hawa hawa "air hostage" aliosema namba moja??
 
Watoto wazuri .. wanasura angavu zenye taswira ya matumaini kwa nchi ya Tanzania..

Hawa watoto ni utalii tosha.

Ila tuu wakate kucha.[emoji23]

[emoji23]View attachment 1171835
Kwa zile enzi za kale za ujima za utawala wa watemi, hapo mtukufu mtemi anaweza akatoa amri ya kuwaoa wote hao kwa mkupuo na hakuna anayehoji wala kupinga.
 
Watoto wazuri .. wanasura angavu zenye taswira ya matumaini kwa nchi ya Tanzania..

Hawa watoto ni utalii tosha.

Ila tuu wakate kucha.[emoji23]

[emoji23]View attachment 1171835
Dada zetu ni wazuri bana tuache kuponda kila kitu, kwa airlines chache nilizowahi kupanda ( Qartar, Emirates, Turkish na Ethiopia) , nikiri tu kwamba dada zetu ni wazuri, au uzuri ni weupe, maana hao wa makampuni ya kigeni ni rangi nyeupe na ndiyo inayowabeba hasa hasa. Dada zetu trust me, you are good! keep going.
 
Back
Top Bottom