Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,430
- 191,695
Msijisahaulishe kuwa hii ni awamu ya wenye vyeti wazee. Huwezi kukuta mwanamke msomi ana sura na body ya Cappucino Tunda ama Officialynn.Sura ya air hostess ni kigezo namba 1 ikienda sambamba na vingine wanavyovijua wao, siwezi kufurahia huduma ya air hostess wenye sura mbovu kama wa ATCL.
.
Yani kama kutaka sura nzuri za air hostess ni ushamba basi mimi mshamba sanaa, air hostess wa Boeing ya ATCL kama vyura wanajichuna ngozi
Ingekuwa awamu ya maisha bora kwa kila mtanzania mngeshuhudia malaika watupu kwenye cabin maana ilikuwa kupachikana tu bila kujali proffessionalism.