Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

Embu nenda kaombe kazi Ethiopian airlines au Kenya airways na lisura la ajabu ajabu kama utapata kazi
Bahati nzuri haya mashirika nimesafiri nao mara nyingi. Wapo wahudumu wa kawaida kabisa ambao hata ukiwapelka pale Keko Mwanga kisura wataonekana ni kawaida sana. Tofauti tu ni kuwa wanajitambua.
 
Yani air hostess wa Ethiopian airlines uwalinganishe na wa ATCL?
wewe ndugu unatuchukuliaje sisi unadhani hatusafiri au hatujawahi kusafiri na ATCL yani hata mizuka nakosaga.
.
Mijanamke michachu midomo, sura hovyo yanajichuna ngozi loh! Hata hivyo uzuri wa kitu uko machoni mwa mtazamaji kwangu NO ni mabaya sijafanikiwa kuona mzuri niliwahi kumuona mmoja fast jet sijamuona tena
 
Ni wapi nimewalingalisha na wa ATCL? Mimi nimesema wengine ukiwapeleka Keko Mwanga wanaonekana (kwa sura) ni kawaida kabisa. Na hili la kuwaponda wanawake wa ATCL kama umesoma thrad tangu mwanzo ni kuwa msimamo wangu ni kuwa mashirika yote makubwa hayaajiri ma air hostess kutokana na sura, bali wana vigezo vingi. Kuhusu wewe kuwaona hao wa Ethiopian kuwa ni wazuri nalo linaweza kuwa ni ''ushamba'' wako kama wa huyu mwanzisha thread aliyewasifia hawa wa ATCL!
 
Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..

Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.

Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..

Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.

1. Wanalugha nzuri

2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.

3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.

4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.

Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.

Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..

Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.

Wengine wameweka makucha ya bandia.

Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..

Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
Weka picha

Vinginenvyo

Ni wivu tu
 
Ni wapi nimewalingalisha na wa ATCL? Mimi nimesema wengine ukiwapeleka Keko Mwanga wanaonekana (kwa sura) ni kawaida kabisa. Na hili la kuwaponda wanawake wa ATCL kama umesoma thrad tangu mwanzo ni kuwa msimamo wangu ni kuwa mashirika yote makubwa hayaajiri ma air hostess kutokana na sura, bali wana vigezo vingi. Kuhusu wewe kuwaona hao wa Ethiopian kuwa ni wazuri nalo linaweza kuwa ni ''ushamba'' wako kama wa huyu mwanzisha thread aliyewasifia hawa wa ATCL!

Mimi tangu nimepanda ndege za kimataifa sijaona mahostess/cabin crew wabaya kwa sura. Wa hapa kwetu wengi wao mikomao, kuna mdada mmoja fast jet anauza vyakula dah kama sio hostess mzee! Hana sura, matako makubwa.
 
Basi hujawahi kupanda ndege za kimataifa au ulipanda trip chache sana na ulikuwa bado mshamba, unaona kila kitu ndani ni kizuri.
 
Ni wapi nimewalingalisha na wa ATCL? Mimi nimesema wengine ukiwapeleka Keko Mwanga wanaonekana (kwa sura) ni kawaida kabisa. Na hili la kuwaponda wanawake wa ATCL kama umesoma thrad tangu mwanzo ni kuwa msimamo wangu ni kuwa mashirika yote makubwa hayaajiri ma air hostess kutokana na sura, bali wana vigezo vingi. Kuhusu wewe kuwaona hao wa Ethiopian kuwa ni wazuri nalo linaweza kuwa ni ''ushamba'' wako kama wa huyu mwanzisha thread aliyewasifia hawa wa ATCL!
Sura ya air hostess ni kigezo namba 1 ikienda sambamba na vingine wanavyovijua wao, siwezi kufurahia huduma ya air hostess wenye sura mbovu kama wa ATCL.
.
Yani kama kutaka sura nzuri za air hostess ni ushamba basi mimi mshamba sanaa, air hostess wa Boeing ya ATCL kama vyura wanajichuna ngozi
 
Precision Air mawigi kama kawa.
20190804_141558.jpeg
 
Kuna shemeji yenu hapo kuwen wapole kwa muda[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Mkuu kama una mchumba/mke hapo jua umewaolea wazee wa serekalini. Atakavyohongwa sidhani kama atakataa kutoa kipochi manyoya. Kuna mazee ya serikali yanahonga balaa, na hayajui kutongoza yenyewe ni kuhonga tu.
 
Acheni utani banaa yaani hawa ndio unaita warembo? labda usifie ukarimu huko Ndegeni lkn kwa uzuri wa hawa wadada ulisha watu tango mwitu hakuna kitu hapo labda ungweka picha ya miss Bantu angalau
Nashangaa hapo walipo wamebana matumbo mpaka wanajamba,afu baada ya kuona wigi stimu zote zimekata
 
Back
Top Bottom