Tabutupu nakuunga mkono kwa hoja, ila Kuna jambo moja hujagusia. Magauni yao yawe ya staha. Sometimes hivyo vimini wanavyotupia Haviwajengi ila vinawashusha. Wangeweza wakavaa hata suruali zisizobana na makoti ( kama wanavyovaa wadada wa Kenya airways) au sketi za staha na blauzi nzuri . Wakumbuke tuu kwamba siku hizisiyo abiria wengi wanaofikiria saana mambo hayo .Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..
Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.
Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..
Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.
1. Wanalugha nzuri
2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.
3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.
4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.
Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.
Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..
Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.
Wengine wameweka makucha ya bandia.
Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..
Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
Macho yako yana mategeWatoto wazuri .. wanasura angavu zenye taswira ya matumaini kwa nchi ya Tanzania..
Hawa watoto ni utalii tosha.
Ila tuu wakate kucha.[emoji23]
[emoji23]View attachment 1171835
Mkuu customer care ni practice ya muda mrefu, Hawa wa kwetu naona bado kidogoUkitaka ujue huduma za kitanzania wape stress kidogo ndo utajua kuwa customer care huwa haiigwi. Bali kiinglishi kinapotea na ukali juu afu uzuri unapotea.
Siku moja nilipanda air bus kutoka Mwanza to Dar es Salaam. Dogo mmoja alikuwa ndo mara yake ya kwanza kupanda dah alivyowasumbua nikawa nacheka ile customer care ikaisha dada akawa mkali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanzania [emoji1241] customer care iko chini sana. Inabiidi somo lianze kufundishwa now kuanzia awali hadi chuo kikuu kama ilivyo uraia
Watanzania customer care bado sana.. mtu akishakua kwenye kijiofisi/nafasi fulani ya kutoa huduma yaani hua anajiona Mungu mtu! Anasahau kabisa kwamba bila wateja hiyo ofisi/nafasi aliyo nayo haitakuwepo.Mkuu customer care ni practice ya muda mrefu, Hawa wa kwetu naona bado kidogo
Mwaka juz nilikuwa naenda mbeya na bombardier, wakati wanaserve kulikuwa na korosho na juice zile za mabox, vitu amabavyo kwa kweli situmii, nikakataaa kuchukua na kushukuru, lkn baada ya tray kupitia kidogo nikakumbuka kuwa naweza kuomba maji ya kunywa nipoze kiu, nikatoa ishara ya kumuita mhudumu, bahati mbaya hakuniona, Kosa lilikuja nilipoamua chukua gazeti ninalo soma na kumgusa nalo mkononi ili astuke nimuagize maji! Aliniwashia moto si wa kipole pole, Ati kwa nini nimemdhalilisha kwa kumuita kama bar maid, ilikuwa ni ishu sio ndogo, attention nzima ya ndege ikageukia kwangu, kwamba eti tukishuka mbeya ni straight polisi kwa ishu ya kumdhalilisha,
Nashukuru mungu siti nilikua nimekaa na mama flan mtu mzima muungwana ndo akaanza kuelezea tukio Zima ilivyokua maana aliona kila kitu, Ndo ikawa pona yangu,
Toka tukio lile linitokee sijawahi panda Tena Atcl, flight ilikuwa juu kwa 60k na 30 min longer ukilinganisha na fast jet kwa wakati huo, nilipanda ku practice uzalendo, Lakin nusura unitokee puani.
Nyie mnanichanganya mpaka naonekana mshamba, hivi ni air hostess au air hostages?
Una kabinti kazuri kweli kweli !
Kabisa ndege zimevuma Sana na waliopo humo wa najiona ni miungu watu, na hivi kun a makundinya watu wanazipinga kuna siku mtu atapata bahati mbaya ya kuhatibu kitu mle akajikuta anatokabna kesi yabuhujumu Mali ya umaWatanzania customer care bado sana.. mtu akishakua kwenye kijiofisi/nafasi fulani ya kutoa huduma yaani hua anajiona Mungu mtu! Anasahau kabisa kwamba bila wateja hiyo ofisi/nafasi aliyo nayo haitakuwepo.
Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..
Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.
Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..
Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.
1. Wanalugha nzuri
2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.
3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.
4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.
Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.
Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..
Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.
Wengine wameweka makucha ya bandia.
Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..
Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
Ni ushamba wako tu. Unawakilisha ushamba wa watanzania wengi. Wengi wanafikiri u-airhostess ni urembo wa sura! Panda ndege nyingine za dunia hii uone. Kuna wanawake na wanaume wa makamo. Kuna warembo na wasio warembo. Hawachaguliwi kwa sababu ni vijana au warembo. Wanachojali ni watu watu wanaoijuwa kazi yao vizuri.
hawa ndio umeona warembo!
Ulishawai panda Qatar Air ways ukawaona mahostess wao! alafu warefu, kwa huduma wako vizuri sana. Hawa wa kwetu wapunguze kula dona na makande
View attachment 1171910View attachment 1171911
Jaribu kuheshimu utu wa watu mkuu.
Hata kama huwapendi wasukuma inakuongezea nini maishani mwako kuwachukia ?
Au kabila lako hawana kasoro ?
Hivi ni vyuma kamili 🤣🤣🤣hawa ndio umeona warembo!
Ulishawai panda Qatar Air ways ukawaona mahostess wao! alafu warefu, kwa huduma wako vizuri sana. Hawa wa kwetu wapunguze kula dona na makande
View attachment 1171910View attachment 1171911
Let me speak my mind:
1.I hate anything started by Jiwe on anything,therefore
2.I hate ATC admin
3.I hate the planes
4.I hate everything they stand for
5.I hate the colors
6.I hate the air hostesses
7.I hate anything connected to ATC in any shape or form!
Its me,you can love whatever you want!
Thank you!