Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

Kila mtu anataka picha...
Screenshot_20190804-092130.jpg

Screenshot_20190804-092044.jpg
 
Mwanzoni waliweka misukuma mibayaaaa....
Wa sasa ni hovyo tu sioni polite
 
Watoto wazuri .. wanasura angavu zenye taswira ya matumaini kwa nchi ya Tanzania..

Hawa watoto ni utalii tosha.

Ila tuu wakate kucha.[emoji23]

[emoji23]View attachment 1171835

hawa ndio umeona warembo!
Ulishawai panda Qatar Air ways ukawaona mahostess wao! alafu warefu, kwa huduma wako vizuri sana. Hawa wa kwetu wapunguze kula dona na makande

8185343561_858988bb0f_o-1.jpg
57ab050216077.jpg
 
hawa ndio umeona warembo!
Ulishawai panda Qatar Air ways ukawaona mahostess wao! alafu warefu, kwa huduma wako vizuri sana. Hawa wa kwetu wapunguze kula dona na makande

View attachment 1171910View attachment 1171911

Nadhani wewe unababiashwa na rangi za ngozi zao tu; kwa mfano kwenye hii picha mwanamke mwenye sura ya kuependeza kuweza kushiriki mashinandao ya urembo ni mmoja tu. Wengine watatu watapata shida sana kwenye raundi ya kwanza tu.
1564900198293.png
 
Ukitaka ujue huduma za kitanzania wape stress kidogo ndo utajua kuwa customer care huwa haiigwi. Bali kiinglishi kinapotea na ukali juu afu uzuri unapotea.
Siku moja nilipanda air bus kutoka Mwanza to Dar es Salaam. Dogo mmoja alikuwa ndo mara yake ya kwanza kupanda dah alivyowasumbua nikawa nacheka ile customer care ikaisha dada akawa mkali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanzania [emoji1241] customer care iko chini sana. Inabiidi somo lianze kufundishwa now kuanzia awali hadi chuo kikuu kama ilivyo uraia

😂😂😂😂😂😂😂
 
Ha ha ha ha ha sawa Kaka Ila daah yaani sifa haziendani na uhalisia
Acha wivu bana.. sema umesahau lini umekwea air Tanzania.

Watu wanapigana vikumbo kukwea air tanzania just kuwaona hawa warembo na kupata huduma zao.

Acha wivu bro[emoji28][emoji28]
 
Mkuu tuvumilie na kiinglishi chetu ch kukafirishwa.
Ila ninekuelewa.. yamesha wahi nitokea tena air Tanzania.
Alitaka kunihamisha seat nikagoma, akwa mkali.
Ila kwa sasa naamini wamesha anza kuwekeza kwenye training za hawa watumishi.

Acheni vbabe 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..

Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.

Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..

Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.

1. Wanalugha nzuri

2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.

3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.

4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.

Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.

Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..

Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.

Wengine wameweka makucha ya bandia.

Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..

Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
Uzi kama huu bila picha ni umbea tu
 
Mkuu tuvumilie na kiinglishi chetu ch kukafirishwa.

Ila ninekuelewa.. yamesha wahi nitokea tena air Tanzania.

Alitaka kunihamisha seat nikagoma, akwa mkali.

Ila kwa sasa naamini wamesha anza kuwekeza kwenye training za hawa watumishi.
Nini maana ya mrembo?
 
Mwanzoni waliweka misukuma mibayaaaa....
Wa sasa ni hovyo tu sioni polite
Jaribu kuheshimu utu wa watu mkuu.

Hata kama huwapendi wasukuma inakuongezea nini maishani mwako kuwachukia ?

Au kabila lako hawana kasoro ?
 
hao ni wako sisi tuna air hostage wetu

Back
Top Bottom