Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

Nyie mnanichanganya mpaka naonekana mshamba, hivi ni air hostess au air hostages?
Mkuu ni air hostess, maana inamaanisha wahudumu wa ndege ila air hostages inamaanisha mateka wa kwenye ndege...kama sijakosea
 
Mkuu ni air hostess, maana inamaanisha wahudumu wa ndege ila air hostages inamaanisha mateka wa kwenye ndege...kama sijakosea
Unataka kutekwa na kuambiwa unahujumu uchumi..
 
Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..

Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.

Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..

Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.

1. Wanalugha nzuri

2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.

3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.

4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.


Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.

Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..

Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.

Wengine wameweka makucha ya bandia.

Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..

Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
Haujautendea hakii huu uzi kwa kwel, bila picha bado kabisa
 
Acheni utani banaa yaani hawa ndio unaita warembo? labda usifie ukarimu huko Ndegeni lkn kwa uzuri wa hawa wadada ulisha watu tango mwitu hakuna kitu hapo labda ungweka picha ya miss Bantu angalau
Kuna watu wana kejeli hapa duniani mfano wake hakuna 😂😂😂
 
Ni ushamba wako tu. Unawakilisha ushamba wa watanzania wengi. Wengi wanafikiri u-airhostess ni urembo wa sura! Panda ndege nyingine za dunia hii uone. Kuna wanawake na wanaume wa makamo. Kuna warembo na wasio warembo. Hawachaguliwi kwa sababu ni vijana au warembo. Wanachojali ni watu watu wanaoijuwa kazi yao vizuri.
Embu nenda kaombe kazi Ethiopian airlines au Kenya airways na lisura la ajabu ajabu kama utapata kazi
 
Ukiwaangalia kwa macho ya kizalendo, ni warembo zaidi ya Matlai Shamshi...binti mfalme wa Uajemi 😂
Aaaah me sikubali ujinga hapo sijaona mrembo yote mabaya, hilo la kwanza miguu iko ka ya zeruzeru juu likafifia kidogo, linalofuatia limechoka na mengine Mungu wangu 🏃🏃🏃
 
Acha sexism; wanaitwa flight attendants au cabin crew, siyo air hostess OK! Wanaweza kuwa wanaume au wanawake; in fact kwenye ndege za masafa marefu huwa wanasaidiwa na mapilot katika kuhudumia abiria. Ukiruka na Luthansa Boeing 747 kwenye safari ndefu kwa mfano kutoka Frankfurt hadi Tokyo, Singapore, au Lio de Janeiro utaona mapilot nao wanakuja kuhudumia abiria. Angalia cabin crew ya British Airways (kuna wanaume na wanawake)
1564899676293.png



Cabin crew ya Lufthansa (wanawake watatu, wanaume wawili, na mapailoti watatu)

1564899815145.png
 
Back
Top Bottom