Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

Ukitaka ujue huduma za kitanzania wape stress kidogo ndo utajua kuwa customer care huwa haiigwi. Bali kiinglishi kinapotea na ukali juu afu uzuri unapotea.

Siku moja nilipanda air bus kutoka Mwanza to Dar es Salaam. Dogo mmoja alikuwa ndo mara yake ya kwanza kupanda dah alivyowasumbua nikawa nacheka ile customer care ikaisha dada akawa mkali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kipimo cha uvumilivu cha binadamu kina kikomo. hata wewe ukihisi kuzinguliwa hata kama una uvumilivu wa aina gani, lazima itafika mda utamchenjia anaye kuzingua.

tusileteane ujinga kwenye kazi.
 
Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..

Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.

Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..

Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.

1. Wanalugha nzuri

2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.

3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.

4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.

Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.

Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..

Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.

Wengine wameweka makucha ya bandia.

Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..

Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.

Let me speak my mind:

1.I hate anything started by Jiwe on anything,therefore
2.I hate ATC admin
3.I hate the planes
4.I hate everything they stand for
5.I hate the colors
6.I hate the air hostesses
7.I hate anything connected to ATC in any shape or form!

Its me,you can love whatever you want!

Thank you!
 
kipimo cha uvumilivu cha binadamu kina kikomo. hata wewe ukihisi kuzinguliwa hata kama una uvumilivu wa aina gani, lazima itafika mda utamchenjia anaye kuzingua.

tusileteane ujinga kwenye kazi.
Wewe ndo unaijua mazingira ya kazi za customer care, kuna watu wasumbufu usipime!
 
Naomba serekali ituletee wahudumu wenye chura sio hawa wengi wao vimbaumbau

😂😂😂😂
 
dstv wana channel inaitwa natgeo kuna kipindi kinaitwa aircrash investigation hua sina hamu na haya mapipa kabisaa hata wawaweke malaika walio punyuliwa manyoya sipandi na kama kuna kazi kua lazima nitumie ndege basi hiyo kazi siitaki
 
Ukitaka ujue huduma za kitanzania wape stress kidogo ndo utajua kuwa customer care huwa haiigwi. Bali kiinglishi kinapotea na ukali juu afu uzuri unapotea.
Kwanini uwape stress??? Kwanini usiwe abiria muungwana unayewatia nguvu na kuwapa moyo wa kufanya kazi zao vema???
 
Kuna wenzio hawataki hata kuvuka tazara flyover .
dstv wana channel inaitwa natgeo kuna kipindi kinaitwa aircrash investigation hua sina hamu na haya mapipa kabisaa hata wawaweke malaika walio punyuliwa manyoya sipandi na kama kuna kazi kua lazima nitumie ndege basi hiyo kazi siitaki
 
Ha ha ha ha ha.....hii nikweli asee kuna mpango kando wangu uliniambia kuna mzee mmoja alikuwa anamtaka siku yuko ofisni analetewa Card ya Gari mpyaaa.....daah
Mkuu kama una mchumba/mke hapo jua umewaolea wazee wa serekalini. Atakavyohongwa sidhani kama atakataa kutoa kipochi manyoya. Kuna mazee ya serikali yanahonga balaa, na hayajui kutongoza yenyewe ni kuhonga tu.
 
Bila picha, hujautendea HAKI uzi huu.

Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..

Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.

Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..

Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.

1. Wanalugha nzuri

2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.

3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.

4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.

Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.

Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..

Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.

Wengine wameweka makucha ya bandia.

Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..

Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
 
Ha ha ha ha ha yaani ilitakiwa tuwe na utambulisho wa wadada wetu huko Ethiopia ni urembo hapa kwetu tungechagua misambwanda ingetrend Sana Sasa hii kutaka kuwaiga wenzetu tunaonekana vituko
Nashangaa hapo walipo wamebana matumbo mpaka wanajamba,afu baada ya kuona wigi stimu zote zimekata
 
Back
Top Bottom