Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..

Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.

Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..

Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.

1. Wanalugha nzuri

2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.

3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.

4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.

Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.

Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..

Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.

Wengine wameweka makucha ya bandia.

Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..

Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
 
Picha tafadhali maana wengine hatujawahi kuwatia machoni kwakua hatujawahi kupanda ndege.
 
Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..

Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.

Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..

Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.

1. Wanalugha nzuri

2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.

3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.

Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.

Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..

Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.

Wengine wameweka makucha ya bandia.

Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..

Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
Kama nchi tukitusua hospitality itabidi tujibariki maana generally ni mboooovuu .tunawasubiri London winter ijayo japo tuwatie machoni tujiridhishe maana si ajabu ulikuwa umebwia ma wine ukishushia na korosho.
 
Watoto wazuri .. wanasura angavu zenye taswira ya matumaini kwa nchi ya Tanzania..

Hawa watoto ni utalii tosha.

Ila tuu wakate kucha.

20190804_073910.jpeg
 
Acheni utani banaa yaani hawa ndio unaita warembo? labda usifie ukarimu huko Ndegeni lkn kwa uzuri wa hawa wadada ulisha watu tango mwitu hakuna kitu hapo labda ungweka picha ya miss Bantu angalau
Watoto wazuri .. wanasura angavu zenye taswira ya matumaini kwa nchi ya Tanzania..

Hawa watoto ni utalii tosha.

Ila tuu wakate kucha.

View attachment 1171835
 
Acha wivu bana.. sema umesahau lini umekwea air Tanzania.

Watu wanapigana vikumbo kukwea air tanzania just kuwaona hawa warembo na kupata huduma zao.

Acha wivu bro
Acheni utani banaa yaani hawa ndio unaita warembo? labda usifie ukarimu huko Ndegeni lkn kwa uzuri wa hawa wadada ulisha watu tango mwitu hakuna kitu hapo labda ungweka picha ya miss Bantu angalau
 
Acha wivu bana.. sema umesahau lini umekwea air Tanzania.

Watu wanapigana vikumbo kukwea air tanzania just kuwaona hawa warembo na kupata huduma zao.

Acha wivu bro
Ni ushamba wako tu. Unawakilisha ushamba wa watanzania wengi. Wengi wanafikiri u-airhostess ni urembo wa sura! Panda ndege nyingine za dunia hii uone. Kuna wanawake na wanaume wa makamo. Kuna warembo na wasio warembo. Hawachaguliwi kwa sababu ni vijana au warembo. Wanachojali ni watu watu wanaoijuwa kazi yao vizuri.
 
Na we acha ushamba wako.. wapi nimesema ni wazuri wa sura.
 
Ukitaka ujue huduma za kitanzania wape stress kidogo ndo utajua kuwa customer care huwa haiigwi. Bali kiinglishi kinapotea na ukali juu afu uzuri unapotea.

Siku moja nilipanda air bus kutoka Mwanza to Dar es Salaam. Dogo mmoja alikuwa ndo mara yake ya kwanza kupanda dah alivyowasumbua nikawa nacheka ile customer care ikaisha dada akawa mkali

Tanzania customer care iko chini sana. Inabiidi somo lianze kufundishwa now kuanzia awali hadi chuo kikuu kama ilivyo uraia
Hawa watoto sijui wamewachukua wapi..
Wengine rangi ya kunde, wengine weusi, wengine warefu , wengine wafupi..

Sijui ni ile rangi ya uniform, blue na njano katikati ya mkato wa miguu nyuma.

Nilikaaa na mzungu mmoja basi anawakodolea macho safari nzima..

Ukweli hawa warembo wamefanya niiipendi air tanzania.

1. Wanalugha nzuri

2. Wana smile vizuri utadhani hawaja wahi kuwa na matatiZo.

3. Wanaongea kingereza na kiswahili vizuri.

4. Wale wanaosuka twende kilioni hao ndio wameua.. yaani mnaifanya Tanzania kuwa ya kipekee.. Sijawahi kudhani kusuka kunawafanya wasichana kuoendeza kiasi kile.. Big up wanao wasuka.

Anaye wavalisha hawa wafanyakazi na kuwaelekeza nampa big up.

Jambo moja ambalo naomba walifanye .. wawe na kucha fupi, wakate kucha..

Wengine makucha marefu hadi tunaogopa.

Wengine wameweka makucha ya bandia.

Jamani mle ndani mnahudumia hata watoto ..

Big up air hostess wote kwa kazi nzuri.. nimeipenda huduma yenu kwa air Tanzania.
 
Mkuu tuvumilie na kiinglishi chetu ch kukafirishwa.

Ila ninekuelewa.. yamesha wahi nitokea tena air Tanzania.

Alitaka kunihamisha seat nikagoma, akwa mkali.

Ila kwa sasa naamini wamesha anza kuwekeza kwenye training za hawa watumishi.

Ukitaka ujue huduma za kitanzania wape stress kidogo ndo utajua kuwa customer care huwa haiigwi. Bali kiinglishi kinapotea na ukali juu afu uzuri unapotea.

Siku moja nilipanda air bus kutoka Mwanza to Dar es Salaam. Dogo mmoja alikuwa ndo mara yake ya kwanza kupanda dah alivyowasumbua nikawa nacheka ile customer care ikaisha dada akawa mkali

Tanzania customer care iko chini sana. Inabiidi somo lianze kufundishwa now kuanzia awali hadi chuo kikuu kama ilivyo uraia
 
Na we acha ushamba wako.. wapi nimesema ni wazuri wa sura.
Ushamba wako unakuangamiza. Unakumbuka ile hadithi ya kipofu aliyeone punda kwa sekunda kadhaa baada? Ndiyo maana unakana na maandishi uliyoyandika. Wewe utakuwa dizaini ya janaume moja kutoka kanda ya ziwa nilipanda nalo ndege safari nzima macho linadokolea wale wahudumu. Lilifikiri liko Bar za Bongo linakongoza hovyo ma-bar maid.
 
Back
Top Bottom