Young sis hebu vuka complaints utaelewa.tusamehe sana Aine....lakini kaka Uporoto tumemfanyaje Aine?
tusamehe sana Aine....lakini kaka Uporoto tumemfanyaje Aine?
Spanish lady tunajaribu kurekebisha mbona unataka kuharibu ? kuna dume linaitwa Aine kweli ? huyu ni african lady wa haja.Jamani aine smiiiíile.
Hivi aine ni kidume au kijike?
Sikuwa na maana yoyote mbaya mkuu, labda thread yangu sijaiweka ktk maana ambayo mngeelewa woooote in a positive way, am sorry if i was misunderstood in this way, na nafikiri hasa niliposema iwe kwa kumsifia mtu, pengine ningesema kwa kumponda mtu tu labda mngeifurahia. anyway am sorry againUnaweza kuhisi hauthaminiwi,unapuuzwa au hatukujali,unaweza hisi kuna wenye umuhimu zaidi ya wengine hapa JF.Kama umehisi chochote kati ya hivyo naomba radhi kwa niba ya wengine na haikuwa dhamira yetu.Wewe ni muhimu kwetu tunakuthamini,tunakujali na tunakupenda. Shairi la Klorokwini linafata kwenye thread ingine ambayo pia ni kwa ajili yako.

Spanish lady tunajaribu kurekebisha mbona unataka kuharibu ? kuna dume linaitwa Aine kweli ? huyu ni african lady wa haja.
Sikuwa na maana yoyote mbaya mkuu, labda thread yangu sijaiweka ktk maana ambayo mngeelewa woooote in a positive way, am sorry if i was misunderstood in this way, na nafikiri hasa niliposema iwe kwa kumsifia mtu, pengine ningesema kwa kumponda mtu tu labda mngeifurahia. anyway am sorry again
hapana Aine hauna haja ya kuwa sorry tusamehe sisi kwa kutokukuelewa.Sikuwa na maana yoyote mbaya mkuu, labda thread yangu sijaiweka ktk maana ambayo mngeelewa woooote in a positive way, am sorry if i was misunderstood in this way, na nafikiri hasa niliposema iwe kwa kumsifia mtu, pengine ningesema kwa kumponda mtu tu labda mngeifurahia. anyway am sorry again
hebu sogea pembeni hapa usigongwe na magari ya Dar bure lol!

kuna dume linalotungiwa sredi na dume lenzie tena lenye maneno matamu kama hayo.
Kweli spanish lady nimechoka kufikiria. Lol.
Aine wetu kapendeza, JF anang'ara

vishavu kama vichenza, tena havuti sigara

akiwezeshwa anaweza , Dodoma hadi mtwara

Wale wanaombeza , Mungu awape madhara

Wengi wanamgombea, mimi pia uporoto

Sredi tumemuanzishia, JF haina majotro

Mtoto ametulia , hehe klorokwini si mseto

Wengine wanadandia, wewe ndie wangu mto

Dah! nitamalizia baadae, swaumu ya leo kali, vina havikuji.

Miss Mpwapwa nawe mtungie shairi basi la kumvuta kundini Aine mrembo wetu wa wiki.

hahahahahaha! Kloro shairi limetulia. Lol.