Aina za wauaji na mauaji

Aina za wauaji na mauaji

wewe wa leo n wazo la mungu la jana so hao wauaji hawajaja kwa bahati mbaya n mawazo yake na ni yeye ndiye aliye amua uazaliwe wap mda gan na wazaz wa namna gan na rangi gan nawasirisha
Kweri nmeona umewasirisha
 
Serial killers wananza kuua km mzaha halafu inakua kama addiction, inafikia wakati huwa wanatamani wakamatwe ili wasiue tena! Kumbuka mtu kama Ted Bundy, Moses Sithole, Ramadan Abdel Rehim Mansour, etc.
 
Watu wasiojulikana wanawaua wanaojulikana alafu wanawatupa kusikojulikana siku isiyojulikana,mahali pasipojulikana na marehemu watagundulika siku isiyojulikana na watu wasiojulikana...!!!??*"dah ntaendelea ngoja nimalizie kwanza kipisi changu cha bhangi
 
Wabakishie wana cha ukucha
 
Tahadhari ya picha... Zinatisha
IMG-20180124-WA0082.jpg
 
Sasa hio picha ya Metro Boomin na Big Sean vinahusiana nini na ulichoandika.,.!!! Commented while listening to "Double or Nothing"
 
Sasa hio picha ya Metro Boomin na Big Sean vinahusiana nini na ulichoandika.,.!!! Commented while listening to "Double or Nothing"
Ni mpaka uwe mfuatiliaji wa mada zangu ndio utaweza kuelewa
 
Naomba niweke baadhi ya picha zenye maelezo machache.. TAHADHARI. MAUDHUI YANATISHA View attachment 6749532009 kikundi cha madawa ya kulevya kilipowaua wapinzani wao ama wanaowahisi wanatoa siri zao... Mauaji ya kutisha na kinyama kama haya ni ya kawaida kwenye vikundi vya madawa ya kulevya kikundi katili zaidi ni mundonarco. com

Sure! Kuna movie series inaitwa Narcos based on true story of the Escobar n his cartel. Daah ni noma....
 
Watu wana ajira mbali mbali hapa duniani.
Dunia haina huruma

Mshana kaka...ulinivutia kutoka kuwa msomaji wa nyuzi zako niwapo lindoni na bila kisinzia
Na leo nimekuwa member humu.

Yapo niliyowahi kuyaona...ni matukio ya kutisha
Walinzi tunakutana na mengi
Kuna siku mlinzi mwenzetu alichinjwa lindoni
Na kuna mwingine alikatwa vipande kisa Duka la vinywaji vikali.....

Wachaga kwa biashara ya vinywaji....huwa wanatamani wawepeke yao sokoni....wauze wao tu....akiinuka mpare ajaribu hiyo biashara lazima aibiwe na mlinzi afe.

Kesho nakuja Msata kutafuta tiba ya kujikinga na wezi na washawishi walinzi mana wamekuwa wengi siku hizi....kupita malindoni kutudanganya ili tuwa maduka ya watu
 
Hawa wachaga hawa... Basi tu ni kwa vile ni watani zangu ila....
 
Back
Top Bottom