Aina za wauaji na mauaji

Aina za wauaji na mauaji

kumbuka kuna vigezo na masharti pia

mshana jr ,
Mkuu
Duuuuuuh.
Nitajitoa mhanga kwa kutoa maelezo huko ofisini.
Maana Mr Slim, a.k.a Kamega anataka kutupotezea nchi kwa kuja huku kila siku huku tukimuangalia tu.

Inabidi sasa tufanye kama ilivyokuwa kipindi cha Hayati Mwl Nyerere, vijana tulilinda nchi.
 
Naanda safari ya kuja hapo East Africa ili nimshughulikie Mr. Slim a.k.a Ngongoti yaani Shingo feni ,,, Dictator kamega.
 
Kanuni ya ngamia jangwani... Hakaribishwi hemani kujipoza na jua na joto kali la jangwani... Ukifanya hivyo ataanza na kichwa kisha atataka kuingiza na mwili wote
 
Hebu tujifunze jambo hapa ili tusitatizike linapotokea.. Nazungumzia kuhusu kuua.. Kutoa uhai wa mtu

1.Ameurter killers.. Wauaji wasio na ujuzi... Huacha alama huua hovyo sio wataalam.. Ni watu wanaopewa kazi wasioimudu.... Hawana shabaha... Refer tukio la TL Dom..
2. Professional killers.. Wauaji wataalam, wataaluma wanajulikana pia kama born to kill.. Yaani wamezaliwa kwa ajili ya kuua, kuangamiza.. No mistakes... No traces. Trained to assassinate...! Hawaoni shida kutoa uhai wa mtu .. Ni kama kumuua mbu....
3. Snipers.. Wadunguaji.... Hawa ni wataalam wa kutumia risasi, wana shabaha na hukaa mbali... Hawakwepeshi.. Hawakosei... Hawa nao wako kwenye kundi la born to kill ila wakiwa wamejikita kwenye sekta moja tu kudungua... Target ni moyo ama kichwa.....
4. Cold blood killers... Hawa ni watu wa kuogopwa mno.. Nadhani hawana roho wala hisia... Ni wauaji naweza kusema wenye matatizo ya akili.. Huua taratibu na kwa mateso makubwa mno.. Hawa ndio wale hutenganisha viungo kimoja baada ya kingine na sometimes kujirekodi na hata kuvipika viungo husika
5. Shooting spree killers... Hawa ni wauaji wenye msongo wa mawazo stress ama Maumivu ya mapenzi.. Hufikia kuona kila mmoja ni adui yake hivyo huchukua silaha na kutafuta kadamnasi ya watu na kuwafyatulia risasi kwa raha zake... Na mara nyingi huishia na kujimaliza na risasi ya mwisho...
6. Serial killers. Hawa ni wa mauaji ya mfululizo.. Ni wahalifu na wavunja sheria... Huanza kuua mmoja kwa sababu yoyote ile na huendelea kufanya mauaji kwa nyakati tofauti kwa sababu ile ile ama sababu nyinginezo mpaka akamatwe
7. The assassins.. Licensed to kill... Wauaji wenye vibali, leseni za kuua.. Hawa huwa ni waajiriwa wa mamlaka za nchi na huua kwa manufaa ya nchi.. Wanafundishwa kuua viongozi, wanasiasa ama mtu mwingine yeyote ambaye anaonekana ni tisho kwa usalama wa taifa, huwa hawashtakiwi popote ... Sometimes hutumika vibaya na mamlaka...!!!
8. The hangers... Wanyongaji hawa ni watu wema wenye ajira rasmi... Kazi yao ni kuwanyonga wahalifu wote waliohukumiwa hukumu ya kifo.. Hawa hufanya ibada pamoja na watu wanaotarajia kuwanyonga

Vyovyote iwavyo mtu yeyote yule kwa sababu zozote zile, mwenye uthubutu wa kunyanyua mkono wake, ama kupanga mauaji ya mtu mwingine kwa kufanya mwenyewe ama kushirikisha wengine kwa ahadi ya malipo nk... Mtu huyo ni wa kuogopa kama ukoma kwakuwa inawezekana kabisa ni mmojawapo kati ya zile manii zilizokosea njia zikatunga mimba za bahati mbaya... Yaani hawakupaswa kuzaliwa..... View attachment 674716
mshana,
mbona ''watu wasiojulikana" hawapo katika orodha yako?.
 
WALE WATU WASIOJULIKA WALIWAHI KUJIULIZA KUWA IPO SIKU NAO PIA WANAWEZA. KUDHURIKA/KUUAWA NA WATU WASIOJULIKANA MARA BAADA YA KUMALIZA KAZI?

AINA YA KUTOKUAMINIANA KWA AINA WATU HAWA WASIOJULIKAVA MARA NYINGI HATIMA YAO HUWA YA MASHAKA SANA. KUNA MASHIRIKA YA SIRI YA KIJASUSI YAMEKUWA NA TABIA YA KUWADHURU. WALE WANAOWATUMA MARA WAMALIZAPO KAZI WALIOTUMWA.

JE, HAWA WAPO KUNDI LIPI?
 
Bado wanaingia kundi lile lile la licensed to kill... To assassinate
Yaani mamlaka ndio zinakupa maagizo
 
Naanda safari ya kuja hapo East Africa ili nimshughulikie Mr. Slim a.k.a Ngongoti yaani Shingo feni ,,, Dictator kamega.
Duuu angalia asi kushughulikie kabla hujafika huko East Africa
 
Hebu tujifunze jambo hapa ili tusitatizike linapotokea.. Nazungumzia kuhusu kuua.. Kutoa uhai wa mtu

1.Ameurter killers.. Wauaji wasio na ujuzi... Huacha alama huua hovyo sio wataalam.. Ni watu wanaopewa kazi wasioimudu.... Hawana shabaha... Refer tukio la TL Dom..
2. Professional killers.. Wauaji wataalam, wataaluma wanajulikana pia kama born to kill.. Yaani wamezaliwa kwa ajili ya kuua, kuangamiza.. No mistakes... No traces. Trained to assassinate...! Hawaoni shida kutoa uhai wa mtu .. Ni kama kumuua mbu....
3. Snipers.. Wadunguaji.... Hawa ni wataalam wa kutumia risasi, wana shabaha na hukaa mbali... Hawakwepeshi.. Hawakosei... Hawa nao wako kwenye kundi la born to kill ila wakiwa wamejikita kwenye sekta moja tu kudungua... Target ni moyo ama kichwa.....
4. Cold blood killers... Hawa ni watu wa kuogopwa mno.. Nadhani hawana roho wala hisia... Ni wauaji naweza kusema wenye matatizo ya akili.. Huua taratibu na kwa mateso makubwa mno.. Hawa ndio wale hutenganisha viungo kimoja baada ya kingine na sometimes kujirekodi na hata kuvipika viungo husika
5. Shooting spree killers... Hawa ni wauaji wenye msongo wa mawazo stress ama Maumivu ya mapenzi.. Hufikia kuona kila mmoja ni adui yake hivyo huchukua silaha na kutafuta kadamnasi ya watu na kuwafyatulia risasi kwa raha zake... Na mara nyingi huishia na kujimaliza na risasi ya mwisho...
6. Serial killers. Hawa ni wa mauaji ya mfululizo.. Ni wahalifu na wavunja sheria... Huanza kuua mmoja kwa sababu yoyote ile na huendelea kufanya mauaji kwa nyakati tofauti kwa sababu ile ile ama sababu nyinginezo mpaka akamatwe
7. The assassins.. Licensed to kill... Wauaji wenye vibali, leseni za kuua.. Hawa huwa ni waajiriwa wa mamlaka za nchi na huua kwa manufaa ya nchi.. Wanafundishwa kuua viongozi, wanasiasa ama mtu mwingine yeyote ambaye anaonekana ni tisho kwa usalama wa taifa, huwa hawashtakiwi popote ... Sometimes hutumika vibaya na mamlaka...!!!
8. The hangers... Wanyongaji hawa ni watu wema wenye ajira rasmi... Kazi yao ni kuwanyonga wahalifu wote waliohukumiwa hukumu ya kifo.. Hawa hufanya ibada pamoja na watu wanaotarajia kuwanyonga

Vyovyote iwavyo mtu yeyote yule kwa sababu zozote zile, mwenye uthubutu wa kunyanyua mkono wake, ama kupanga mauaji ya mtu mwingine kwa kufanya mwenyewe ama kushirikisha wengine kwa ahadi ya malipo nk... Mtu huyo ni wa kuogopa kama ukoma kwakuwa inawezekana kabisa ni mmojawapo kati ya zile manii zilizokosea njia zikatunga mimba za bahati mbaya... Yaani hawakupaswa kuzaliwa..... View attachment 674716
Naona kama vile namba moja na mbili ndo main types.. Hizo nyengine zinaingia aidha kwenye namba moja or mbili.
 
kaka mshana jr nakuomba inbox tafadhari kuna uzi ule wa meditation na ule somo kuhusu malango bila kusahau jicho la tatu.kuna jambo kubwa sana limenitokea jana hatari sana niko njia panda.
 
Pouwa karibu bila shaka
 
Back
Top Bottom