Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Huu Ndio Ukatili Sasa Daaaahh
Dunia Ina Mengi Mabaya Na Mazur
Huu Ndio Ukatili Sasa Daaaahh
duuhh mkuu kwanza umenikumbusha jambo
Nishatoa hayo malalamiko kuhusu hilo hapa JF ila naona ni ngumu kudhibiti.. Hili ni andishi binafsi.. Naomba hiyo linkKuna page moja ipo facebook inakop na kupaste post za huku jamiiforum na kuweka huko
Halafu hudai kuchangia kwa wasomaj ili upate mwishoe
Kama nyie ndo waanzilishi Mashallah kujipatia rizki ila kama sio nyie kuna boya anapga pesa kutumia mabandiko yenu hasa jukwaa la intelligensia
[HASHTAG]#Watch[/HASHTAG] out
Mmh nipe muda tafadhaliduuhh mkuu kwanza umenikumbusha jambo
baada yakuiona hii picha..
HUWA SIJUI NINATATIZO GANI NAPOMUONA MTU ALIYEPTWA NA MATATIZO YA AJALI KAMA HIVI HUWA NACHANGANYIKIWA KABISA..YAANI NA DATA ..sio lazima iwe kwenye tukio la ajali ..yaani huwa yanitokea hata pale napokutana na wale watu wasiojiweza kiuchumi ambao huwa wanaomba msaada wakifedha ikitokea nikakutana na ambaye hajakamilika like alipatwaga na ajali ikawa hana mikono au kaungua uso huwa napatwa na hiyo hali
nitakuwa natatizo gani ??
HAINa shidaMmh nipe muda tafadhali
Hivi wale wa TL ni kwamba hawajui kazi yao vema au tu kuna nguvu ya
Mungu kwenye tukio zima maana nishaona watu wengi wakifa kwa Risasi
moja mpaka tano tena kwa kupigwa maeneo ambayo si hatari kama ya TL!?
Hujalazimishwa kusoma jukwaa hili kuna Jukwaa la wasiojielewa nenda ukaungane kusoma nyuzi zaousiilazimishe akili yako kuelewa ktk kanuni moja! kuwa mpembuzi wa lugha nilichokitaka ni kwanini umekuwa ukifundisha/kuandika maswala ya kichawi..?
mantiki yangu bado iko palepale
kushindwa kuelewa mantiki ya kile nilichoandika kusikufanye kupatwa na mhemko uloshindwa kuuzuia,hata hivyo nimemuuliza mhusika sijafanya kosa! na kuuliza si ujinga.. hekima na busara ni vitu muhimu,jifunze kutawala mihemko yako..Hujalazimishwa kusoma jukwaa hili kuna Jukwaa la wasiojielewa nenda ukaungane kusoma nyuzi zao
Hii ni JF kuna majukwaa kibao nenda huko nani kakulazimisha kusoma huu uzi
Kuna wale wanotambulika na idara fulani ya serikal,wanaua kwa ajili ya utafiti au masomo fulan ya kitiba.Hebu tujifunze jambo hapa ili tusitatizike linapotokea.. Nazungumzia kuhusu kuua.. Kutoa uhai wa mtu
1.Ameurter killers.. Wauaji wasio na ujuzi... Huacha alama huua hovyo sio wataalam.. Ni watu wanaopewa kazi wasioimudu.... Hawana shabaha... Refer tukio la TL Dom..
2. Professional killers.. Wauaji wataalam, wataaluma wanajulikana pia kama born to kill.. Yaani wamezaliwa kwa ajili ya kuua, kuangamiza.. No mistakes... No traces. Trained to assassinate...! Hawaoni shida kutoa uhai wa mtu .. Ni kama kumuua mbu....
3. Snipers.. Wadunguaji.... Hawa ni wataalam wa kutumia risasi, wana shabaha na hukaa mbali... Hawakwepeshi.. Hawakosei... Hawa nao wako kwenye kundi la born to kill ila wakiwa wamejikita kwenye sekta moja tu kudungua... Target ni moyo ama kichwa.....
4. Cold blood killers... Hawa ni watu wa kuogopwa mno.. Nadhani hawana roho wala hisia... Ni wauaji naweza kusema wenye matatizo ya akili.. Huua taratibu na kwa mateso makubwa mno.. Hawa ndio wale hutenganisha viungo kimoja baada ya kingine na sometimes kujirekodi na hata kuvipika viungo husika
5. Shooting spree killers... Hawa ni wauaji wenye msongo wa mawazo stress ama Maumivu ya mapenzi.. Hufikia kuona kila mmoja ni adui yake hivyo huchukua silaha na kutafuta kadamnasi ya watu na kuwafyatulia risasi kwa raha zake... Na mara nyingi huishia na kujimaliza na risasi ya mwisho...
6. Serial killers. Hawa ni wa mauaji ya mfululizo.. Ni wahalifu na wavunja sheria... Huanza kuua mmoja kwa sababu yoyote ile na huendelea kufanya mauaji kwa nyakati tofauti kwa sababu ile ile ama sababu nyinginezo mpaka akamatwe
7. The assassins.. Licensed to kill... Wauaji wenye vibali, leseni za kuua.. Hawa huwa ni waajiriwa wa mamlaka za nchi na huua kwa manufaa ya nchi.. Wanafundishwa kuua viongozi, wanasiasa ama mtu mwingine yeyote ambaye anaonekana ni tisho kwa usalama wa taifa, huwa hawashtakiwi popote ... Sometimes hutumika vibaya na mamlaka...!!!
8. The hangers... Wanyongaji hawa ni watu wema wenye ajira rasmi... Kazi yao ni kuwanyonga wahalifu wote waliohukumiwa hukumu ya kifo.. Hawa hufanya ibada pamoja na watu wanaotarajia kuwanyonga
Vyovyote iwavyo mtu yeyote yule kwa sababu zozote zile, mwenye uthubutu wa kunyanyua mkono wake, ama kupanga mauaji ya mtu mwingine kwa kufanya mwenyewe ama kushirikisha wengine kwa ahadi ya malipo nk... Mtu huyo ni wa kuogopa kama ukoma kwakuwa inawezekana kabisa ni mmojawapo kati ya zile manii zilizokosea njia zikatunga mimba za bahati mbaya... Yaani hawakupaswa kuzaliwa..... View attachment 674716
Mmh hawa ndio nawasikia leo itabidi niingie kaziniKuna wale wanotambulika na idara fulani ya serikal,wanaua kwa ajili ya utafiti au masomo fulan ya kitiba.
Mfano wao wanaenda km pale kariakoo kisha wanabana mahali wanacheck aina ya mtu anayewafaa ktk kazi yao wanampendekeza kisha wanamfutilia wakifika mahali wanapaona panawafaa kumtoa uhai wanamuua kisha anaenda kukaushwa kamwe mtamtafuta mtu huyo hamtamuona tena.
Bila shaka yameshawahi kutokea mahali fulan kamwe asijulikane alienda wpi.
Je watu hao wauaji hao wanaitwaje?
Mshana jr; wapo hao watu ila wale waliokuwa wanasemekana wananyonya damu.Mmh hawa ndio nawasikia leo itabidi niingie kazini