Aina za wauaji na mauaji

Aina za wauaji na mauaji

Snipers watu wabaya sn aseeh,.ktk vita kuu ya pili ya Dunia Germany(Prussia) ilikua ndio taifa lenye snipers HATARI Sanaa,kwakua baada ya WWI mataifa mengi ya ulaya yalikua less active ktk kukazia mafunzo ya snipers wakidhani Uwezekano wa kutokea kwa vita kuu ya pili ni MDOGO au Haupo KBS,.So far hawa Jamaa wako smart n Brave too!!physics,Maths n jiografia ya mazingira wanavichimba Sn+Huwa napenda sn movies za ma Snipers kwakua binafs pia napenda masuala ya SHABAHA sn!!
 
Snipers are heartless
 
The truth is everyone is born a killer, u just have to push some buttons to activate it.
 
Wanawake Wengi kwa kawaida hawana hela ya nauli kwenda kwa wanaume wao
Lakini wakati akihisi upo na mwanamke mwingine mimi huwa sijui wanatoa wapi nauli utasikia tu anagonga mlango
 
Back
Top Bottom