Aina za wauaji na mauaji

Aina za wauaji na mauaji

Hii number 5 nadhani ndio yule mmarekani aliye waua wenzake jana na kisha kujimaliza.
 
Interesting, nilivyosoma kichwa cha habari tu nikasema mwandishi atakuwa Mshana Jr tu. Asaante kwa kutupa elimu mkuu.
 
hawa ni mtu na mjomba wake kule Mexico mjomba mtu alikuwa na kosa dogo hivyo akachinjwa na chainsaw mdogo wake alikuwa na kosa kubwa alichinjwa Kama kuku kwa maumivu makali mno (agony) mpaka akawa analia
Inatisha sana

Jr
 
.
IMG-20131204-WA0010.jpeg

Jr
 
huyo ni mharibifu lakini je ulijiuliza kama ana ufahamu na alichokifanya?
Nimejaribu kuangalia hizo aina za wauaji,sijui nipo kwenye kundi gani juzi nimeua panya nilimkuta anakula karatasi yenye orodha ya watu ninaowadai

Jr
 
Vyovyote iwavyo mtu yeyote yule kwa sababu zozote zile, mwenye uthubutu wa kunyanyua mkono wake, ama kupanga mauaji ya mtu mwingine kwa kufanya mwenyewe ama kushirikisha wengine kwa ahadi ya malipo nk... Mtu huyo ni wa kuogopa kama ukoma kwakuwa inawezekana kabisa ni mmojawapo kati ya zile manii zilizokosea njia zikatunga mimba za bahati mbaya... Yaani hawakupaswa kuzaliwa.....
 
Mahakamani Kuu Kanda ya Iringa ambayo imefanya kikao mkoani Njombe imemuhukumu kunyongwa hadi kufa aliyekuwa Katekista wa Kanisa katoliki jimbo la Makambako Daniel Philipo Mwelango mwenye umri wa miaka 43 kwa kosa la mauaji baada ya kukutwa na hatia.

Mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Februari 8, 2022 kwa kumuua Daniel Elias Myamba mwenye umri wa miaka 43 mkazi wa mtaa wa Kahawa Makambako kesi Na MC 74/2022 katika mtaa wa Bwawani mjini Makamabako.

Hukumu hiyo imetolewa mbele ya Jaji Mhe. Said Kalunde.

Akisoma hukumu hiyo Jaji wa Mahakama kuu Kanda ya Iringa amesema Mahakama imefikia uamuzi huo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa pasipo shaka yoyote kwamba mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo.

Jaji Kalunde amesema siku ya tukio mshitakiwa alifanya maandalizi kwa kuandaa Panga,Chuma pamoja na mifuko minne ya Kinga njaa,mifuko miwili ilikuwa kwa ajili ya kuzuia damu isisambe na miwili mingine kwa ajili kuhifadhi mwili wa marehemu.

Baada ya hapo akampiga na chuma kwenye kisogo baada ya kuona ameanguka chini na kufariki alimkata vipande viwili na kuvipaki katika mifuko ya kinganjaa ili iwe rahisi kubeba mwili huo na kwenda kuutupa mbali,baada ya kuona mke wa marehemu anapiga simu mara kwa mara kwenye simu ya Maherehemu pamoja mwenyekiti wa kigango alishindwa kuubeba mwili huo na kuamua kuondoka huku akiwa amelibeba panga na kwenda kulitumbukiza katika shimo la choo cha shule ya msingi Makambako na chuma alichotumia kumpiga nacho alikificha kwenye gata karibu na duka na yeye kutorokea Dar es Saalam.
 
Watu wana roho ngumu acha tu.
 
Back
Top Bottom