Aina za wauaji na mauaji

Aina za wauaji na mauaji

Mshana jr; wapo hao watu ila wale waliokuwa wanasemekana wananyonya damu.
Mshana jr; Yawezekana wapo hao watu ila si wale waliokuwa wanasemekana wanawanyonya watu dam ila ni km jamii ya wanyonya dam waliotambulika wakt ule.
 
Wewe ni nani hadi uamue nani anapaswa kuzaliwa na yupi hapaswi? Na kama una huo uwezo utashindwaje pia kuwa muuwaji?

Msisome maandiko humu mkiwa fyatu au hi jamani. Ni wapi mshana jr amesema kuna watu hakutaka wazaliwe. Soma taratiib utamuelewa tu. Halafu kuna kaharufu kuwa kama na wewe ni miongoni mwa makundi tajwa mojawapo hapo
 
hapana ilikuwa katavi, sehemu inaitwa inyonga kisa ilikuwa wivu wa mapenzi jamaa akakodi watu toka tabora wakamuua huyo jamaa. ila walikamatwa

Kisa wanawake ,
Du watu wana akili ndogo sana.
 
Hawa cold blood killer ukiwatafakari nadhani wanahitilafu kwenye mioyo yao. Kuna muhuni mmoja alikuwepo Mexico yeye alikuwa akitumbukiza miili ya watu kwenye pipa la tindikali. alidump miili 300 kwa miaka kumi. Na ndio ilikua 'ajira' yake rasmi kwenye cartel hyo. Aliitwa SOUPMAKER.
 
Yani ww hujawahi kutoa comment za maana zaidi ya miguno na vinukta tu...[HASHTAG]#anyway[/HASHTAG] acha nipambane na hali yangu.
bando langu naandika nachojiskia cc Joowezey
 
Hawa cold blood killer ukiwatafakari nadhani wanahitilafu kwenye mioyo yao. Kuna muhuni mmoja alikuwepo Mexico yeye alikuwa akitumbukiza miili ya watu kwenye pipa la tindikali. alidump miili 300 kwa miaka kumi. Na ndio ilikua 'ajira' yake rasmi kwenye cartel hyo. Aliitwa SOUPMAKER.
soup maker
 
mshana jr
Mkuu,.
Askari Wapiganaji chini ya UN kule Congo na kwingineko duniani wako kundi lipi hapo au Waliopigana vita ya Kulinda nchi yetu dhidi ya adui Nduli IDD Amini.
 
Wauaji wenye kibali.. Wauaji kwa ruhusa.. No offense
 
mshana jr ,
Mkuu,

Aaaaaah, shukuran sana mkuu.
Basi ngoja nijiunge huko kwenye hilo kundi ili niwatoe roho maadui wa Tanzania hasa Mr. Ngongoti a.k.a Mr. Slim also named as Shingo Feni ama Mr. Kakamega.

mshana jr, usinitaje wala kunionea wivu mkuu.
 
kumbuka kuna vigezo na masharti pia
 
Back
Top Bottom