Aina za wauaji na mauaji

Aina za wauaji na mauaji

Mshana Jr katika ubora wako wk hii nlikukumbuka sana nkasema hyu jamaa ambaye thread zake huwa nazipenda Mbona sizioni au bado anakula mwaka mpya. Nmefurahi umerudi tena karbu mkuu na pia ujue unavyokaa kimya muda mrefu kuna watu wanahuzunika hawapati brain wash
 
Wewe ni nani hadi uamue nani anapaswa kuzaliwa na yupi hapaswi? Na kama una huo uwezo utashindwaje pia kuwa muuwaji?
IMG_20180111_054757_225.jpg
msg of the year
 
Mshana Jr katika ubora wako wk hii nlikukumbuka sana nkasema hyu jamaa ambaye thread zake huwa nazipenda Mbona sizioni au bado anakula mwaka mpya. Nmefurahi umerudi tena karbu mkuu na pia ujue unavyokaa kimya muda mrefu kuna watu wanahuzunika hawapati brain wash
siasa inanipoteza sana najitahidi kujinasua kule lakini najikuta nashindwa
 
Hiki kisa nakumbuka ni cha 2013 mwenyekiti wa kijiji kimoja huko Sumbawanga.jamaa alikuwa na roho mbaya balaa alimkata mhanga wake kichwa na pu*mb* akenda kuviinjika jikoni kwenye maji ya ugali aliyoyaweka mkewe marehemu kisha akatembea mbele.noma sana!!!
hapana ilikuwa katavi, sehemu inaitwa inyonga kisa ilikuwa wivu wa mapenzi jamaa akakodi watu toka tabora wakamuua huyo jamaa. ila walikamatwa
 
Namba 2,3,4 ni kama aina moja ya wauaji.
ila inabidi tuonge AFRICAN SILENCE KILLER,or BLACK SMILE KILLER-hawa ni wauaji wanaoua kwa njia ya kichawi,wakimtumia mtu majini au uchawi.
wauaji hawa mara nyingi huwa ni watu wanaoonekana wastarabu na mauaji yao huanzi nyakati za usiku
 
Back
Top Bottom