Mtoto akiwa mdogo wanajifanyaga independent woman, sijui wapambanaji subiri mtoto akue masuala ya kulipa ada yaanze. Hapo baba wa kambo asipobebehwa gharama basi lazima mama mtoto arudi kwa mzazi mwenzie kudai child support na huo ndio mwanzo wa kupasha kipolo