Aina za Ndoa ....

ndoa yangu itakuwa kwa ajili ya kupata watoto tu, kama kidume wangu hana uzazi
najiondekea fasta

Marry iyo siyo ndoa bali ni mtazamo a.k.a matamanio. Unaweza kuzaa mtoto hata kama hauko ndani ya ndoa
 

Mimi yakwangu imetokana na mseto wa makundi hayo mawili ila inasaidia ndoa kutokuvunjika kutokana na ndoa kundi la kwanza.[/QUOTE]


Hongera sana hii ndo itadumu milele...
 
hahahaha Da Huyu ndio Babu DC


Haya mambo ni magumu dada yangu, mtu unaweza tu kuusemea moyo wako pasipo na shaka lolote....

Hayo maneno tunayoambiwa na wenzetu yangekuwa ya kweli dunia ingekuwa mswano...Kusingekuwa na heart breaking za ajabu...!!


Kusemwa kweli, mie ndoa yangu ilikuwa na mchanyato wa 1-3, labda na namba 5 pia!!

Ingewezekana, ningemuuliza Bibi DC naye atueleze ndoa yake (kwa maoni yake binafsi) ni nambari zipi???

Babu DC!!!
 
hivi ni kweli mwanaume anaweza kulazimika kuoa kisa mimba tuuu? hapo sijaamini!! lazima atakuwa amependa huyo sio hivi hivi tu.
 

Babu DC

Ngoja na mie nifanye uchunguzi wa ndoa yangu viongo vyake ni vipi kati ya hizo namba hapo
 
hivi ni kweli mwanaume anaweza kulazimika kuoa kisa mimba tuuu? hapo sijaamini!! lazima atakuwa amependa huyo sio hivi hivi tu.

Inawezekana Arinaswi

Fanya uchunguzi juu hili
 
hivi ni kweli mwanaume anaweza kulazimika kuoa kisa mimba tuuu? hapo sijaamini!! lazima atakuwa amependa huyo sio hivi hivi tu.


Kwa wanaume walio wengi, ni ngumu kusema kwa uhakika kwamba msichane aliyenaye kwa wakati huo anampenda...ndiyo maana anaweza kuendelea kuruka ruka. Ila akimpoteza anaanza kuhangaika.

Mimba zinatumika sana kuwabana watu wa namna hiyo...!! Mifano ipo mingi sana!

Babu DC!!
 
naongezea namba 6:
Humpendi,sura mbaya,likitambi hiloo,ananuka kikwapa,jogoo haliwiki.......lakini anaishi bahari beach,ana vx,likizo zake south africa,wazazi wakikohoa kidogo india,binti mrembo unaona hapa si ndo penyewe? tuihiteje hii ndoa? mi naiita ndoa ATM.
 
Mkuu,kikubwa mmedumu na mna wajukuu.Thank God for that.
 

hahaha Bishanga bana ila hii nitaiweka kweli kwenye namba sita kwa sababu iko sana kwa totoz nyingi zinazopenda maisha ya juu zinakaa kundi hili...ila hapa lazima kuna kidumu
 
FL1 Habari yako dearest....

Nimependa hii topic, too bad sikubahatika kuwepo toka mwanzo ila hamna lililo haribika, naamini nikipitia humu nita enjoy.... Naomba niongezee aina ya ndoa,

Ndoa ya kudimba dimba.

Nje hawa watu ni perfect couple... Ila humo ndani kila mtu na maisha yake; wanakua tu na an understanding, kama mtu anafanya upuuzi iwe mbali na isijulikane na vice versa. Mara nyingi hii inakua as a result ya kuchokana kabisa na kutopendana na wote wakakubali hali halisi. Hivo badala ya kuondoka hapo na kuanza upya wanaona waendelee kushare hasa vile walivochuma pamoja ili mradi nje wasijue hilo.

Kua na Jioni njema Dearest.
 

....wengi wetu baada ya miaka kumi ya ndoa tunajikuta tushapitia vipindi vyote tajwa hapo juu
ndani ya ndoa....ukivuka, unatunukiwa cheti cha wedding Anniversary..

Ukishindwa, unapata testimonial Stamped; Divorce Decree...
 
Tuiite ndoa ya Bishamga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…