condorezaraisi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 225
- 116
umesahau hii ya kwangu.
Ndoa ya kuiga
Mi ndoa yangu ni ya kuiga baada ya kuona jamaa angu kaoa na mimi nikamuua kubeba bar made na kuweka ndani awe anapika na kupakua nacho kipata kwenye hii ndoa najuuta kumfahamu.
Hii ndio naitafuta mimi...!
1.Ndoa za mapenzi ..
Hapa ni ile true love ambayo wote mnajikuta mmependana na hatimaye kuamua kuwa mke na mme
teh umenikumbusha mbali babu?
Ha saa mbili utakuwa ok baada ya vimiminika kama vitatu hivi...
Lakini unajua bwana ya kwako iko group gani ..?
Zipo, sema tu siku hizi zimekuwa advanced... Yaani mnapanga kabisa na binti kwamba leo usiku uje unikamate unipeleke kwako unibake afu unioe....
Source: Ukosefu wa mahari.
Preta hii ya kwako ita -till death do us apart kweli?
Ngoja nirudi kwenye Siasa za mbali ..
leo hapa nimefunguliwa macho na hizi ndoa..
FL1 umesahau Ndoa ya Mkeka iko kundi gani?
Hii ndio naitafuta mimi...!
Obvious ni first class...world class.....or something! Baada ya vimiminika I would be more able to speak it out
Nitarudi kwako saa mbili kamili usiku kwa saa za afrika ya mashariki nikute umefunguka Ndahani.
hizi hata kwetu Iringa zipo mkuu mnapanga kabisaa na mwanamke!
Niko kwenye number one, lakini my next target kuoa mke wa pili, lazima niende kwenye number two :violin:
Ni group no 1 sababu woote mnakuwa mmelidhia kufanya hivyo!Hizi naona hazina neno zimefanyika kwa ridhaa yenu wote..
Sijui ni group namba 1 hizo?
Hii Ndoa ya Mkeka labda Babu DC na Asprin wataielezea kwa ufasaha
Bado wangu network inasearch................!Kwani bado hujaipata mpaka sasa?
Hii kweli ni ile unayosema mke mwema na mme mwema anatoka kwa mungu.
fazaa unataka kuongeza mke