jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
unaenda wapi sasa best? changia bhanaNapita
unaenda wapi sasa best? changia bhanaNapita
una wazimu ujue, hiyo gap unamwachia nani mkeo kwa mfano?Ngoja na mimi nioe nione hasira ya mke.sema Mungu anisaidie,ke akinikasirikia naenda kulala gest hata wiki,maana tabia yangu naijua mwenyewe.naweza kumshika shingo
Naona ka hasira kangu hakapo hapo haahahahhaunaenda wapi sasa best? changia bhana
Sawa tu! Kasirika ikiwa umeuziwa na mimi ila sio umetoka huko ulikotoka unaaza vioja,tutajuana hakianani.una wazimu ujue, hiyo gap unamwachia nani mkeo kwa mfano?
ila sio kosa lako naona kwa vile hujaoa ndo maana unatamka hivyo
teh
Hongera yakoMimi mke wangu akichukia kifua kinamjaa,maziwa yake mazuri yanavimba kama sindano anahema kwa nguvu huku akishindwa kuongea alafu sura yake inakuwa nzuri zaidi mpaka napata hamu.......
Sasa hapo anaingia vyumbani na kutoka mara kwa mara huku anabamiza milango
Ikifikia hatua hiyo lazima nimbembeleze......
Kuna moja cjaiona kuna manzi huku kitaa akizinguana na mumewe anamsubiri mumewe aende kazini huku nyuma anaita kirikuu anasafisha chumba chote anaenda kwao ila mume akirudi anamfata huko na wanarudi na vitu vyao maisha yanasonga

HaKuna demu nilimwambia wowowo lako limeisha aiseee alitoa mvua ya matusi....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
,alikuwa demu wako au mshkaj tuDuuu!!!!Me mchumba wangu akikasirika huwa anachoma nguo na vitu nilivyo mnunulia so sometime huwa najiuliza huyu nikijaga kumuoa si nitakuta amesha ichoma nyumba au suluali zangu zote
afu baadae anaomba msamahaNn zako hujaziona?!Zangu sijaziona,ila hao namba moja siku hizi wameadimika
am sorry, i did not mean to hurt youSawa tu! Kasirika ikiwa umeuziwa na mimi ila sio umetoka huko ulikotoka unaaza vioja,tutajuana hakianani.
Ungekua mke wangu weww shingo yako halali yanguam sorry, i did not mean to hurt you
nisamehe mkuu, nisamehe sanaUngekua mke wangu weww shingo yako halali yangu
Hasira etiNn zako hujaziona?!
Hasira eti
Za motoZako zikoje?
aiseeeeBado,kuna huyu ambaye akikasikrika hutafuta simu na kuanza kusearch namba za ma ex boyfriend zake na kuanza kupanga miadi ya kufanya uovu kwa nia ya kukukomesha..
hahaaaaKuna moja cjaiona kuna manzi huku kitaa akizinguana na mumewe anamsubiri mumewe aende kazini huku nyuma anaita kirikuu anasafisha chumba chote anaenda kwao ila mume akirudi anamfata huko na wanarudi na vitu vyao maisha yanasonga