Aina za hasira za wanawake

Aina za hasira za wanawake

Sipendi hasira kabisa.....

Najua jinsi ya kuziondoa hasira zangu haraka na ndani ya muda mfupi tabasamu kubwaa usoni kuimba kwa sanaa.

Namshukuru maulana kwa hulka aliyoniumba nayo.
 
Me mchumba wangu akikasirika huwa anachoma nguo na vitu nilivyo mnunulia so sometime huwa najiuliza huyu nikijaga kumuoa si nitakuta amesha ichoma nyumba au suluali zangu zote
aisee..ndio yule shemeji Yetu wa juzi ....daaahh hao wahvyo cjawahi kutana nao mkuu
 
Kwa tabia hizi juna wengine nahisi tunaishi na vinyonga maana wana tabia almost nusu ya hizi basi ukiona dalili ya mambo kugeuka unachukua kitabu cha mungu unaanza naombi.
 
Daah namba moja ( kulia mpaka nagugumia kwa kwikwi) imekuwa kama udhaifu wangu fulani hivi sio ofisini sio nyumbani aiseeh inanipaga shida sana huwa najitahidi nisilie ila nashindwa ghafla chozi lishafika shavuni,
Lakini huwa najihis kupunguza maumivu kwa kile kinachonitesa, na baada ya muda nakuwa sawa kabisa hata mtu akinichekesha naweza kucheka utadhani si yule niliyekuwa nalia kwa kung'ata nguo.
 
Mie hulala kimya huku machozi yakitowanisha mto!!
 
Back
Top Bottom