Aina 30 za wanawake hatari kwa afya ya akili ya mwanaume

MLIMAWANYOKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2019
Posts
755
Reaction score
2,680
๐š‚๐šŽ๐š‘๐šŽ๐š–๐šž ๐™ธ

๐‘ต๐’‚. ๐‘ฑ๐’๐’‰๐’-๐‘ฉ๐’‚๐’‘๐’•๐’Š๐’”๐’• ๐‘ด. ๐‘ต๐’ˆ๐’‚๐’•๐’–๐’๐’ˆ๐’‚
_______________________
Moja ya tofauti iliyopo kati ya Mwanaume na Mwanamke ni kwamba Mwanaume anahitaji sana Utulivu na Amani ya Akili (Peace of Mind) wakati Mwanamke anahitaji sana Amani na Utulivu wa Moyo (Hisia). Mwanamke akiivuruga tu Akili ya Mwanaume, ategemee na yeye kuvurugwa Moyo wake.

Kichwa cha Mwanaume kina nafasi ndogo sana ya kujaza vurugu za Mwanamke. Kichwa kimoja cha Mwanaume kikishavurugwa tu na kichwa chake cha pili hakiwezi kufanya kazi zake sawa sawa. Kikivurugwa kichwa cha Juu na kichwa cha chini hakifanyi kazi yake ipasavyo. Na kikivurugwa kichwa cha chini, kichwa cha juu nacho hakitatulia.

Kuivuruga Akili ya Mwanaume, ni kumtafutia Magonjwa ya Akili. Afya ya Akili ya Mwanaume anategemea sana Amani na Utulivu anaoupata.

Aina zifuatazo za Wanawake, wanachangia pakubwa sana katika kuivuruga Afya ya Akili ya Wanaume na hivo kuwasababishia Matatizo makubwa sana kwa kujua au kitokujua:

1. ๐–๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐–๐š๐ง๐š๐ก๐š๐ซ๐š๐ค๐š๐ญ๐ข
Hii ni aina ya Wanawake ambao muda mwingi wamekaa kiuanaharakati wa kutetea haki sawa au usawa kati ya Wanaume na Wanawake. Hawa ndio wale wenye Misimamo ya 50/50. Na misimamo hiyo wanaionesha kwa maneno, matendo na mitazamo yao ya kifikra.

Hawaamini katika Uongozi wa Mwanaume kuwa Mwanaume ndiye Kichwa na Kiongozi wa Familia. Hawako tayari kujiweka chini ya Uongozi wa Mwanaume. Ni vigumu kwao kuwaomba ruhusa Waume zao ili kufanya Maamuzi fulani yanayohusu Maisha yao ya Familia.

Hawaheshimu Maamuzi ya Wanaume na wao wanajiona wana 'Final Say' (Kauli ya Mwisho) katika Familia. Panapotokea mvutano wa kimaamuzi kati yao na Wanaume, huwa hawawezi kustep down (kujishusha chini) na kuruhusu Maamuzi sahihi ya Wanaume yaongoze.

Hawa Wanawake ni hatari sana kwa Wanaume kwasababu kiasili, Wanaume ni wameumbwa na silika ya kuwaongoza Wake zao. Na daima watauonesha Ufalme (Pride) mbele ya Wanawake. Lakini, pale mambo yanapokuwa kinyume chake hasa Wanaume wanapohisi kutokuheshimiwa, kwa kawaida huwa wanakosa sana Utulivu na Amani ya Akili hasa wanapohisi kuwa Nyumbani kuna Madume wawili (Dume-Dume na Dume-Jike).

2. ๐–๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐Œ๐š๐๐ž๐ง๐ข
Hii ni aina ya Wanawake ambao wana madeni mengi kuliko hata zilivyo baadhi ya nchi za Kiafrika. Wanapenda sana kukopakopa hata kama hakuna sababu ya kukopa. Wanakopa kuliko ulivyo uwezo wao wa kuyalipa Madeni hayo. Wao kila wanapopaona pana uwezekano wa kukopa hela na wakapewa, basi watakopa.

Wakati mwingine wakidaiwa sana, wanakopa tena ila kulipa madeni. Yaani, wanalihamisha deni hapa na kulihamishia kwa wengine. Kibaya zaidi, hawajali kudaiwa na wakikopa huwa hawana kawaida ya kulipa kwa wakati ndio maana wanakuwa na mlundikano wa madeni.

Wanawake hawa ni hatari sana kwa Afya ya Akili na Uchumi wa Wanaume. Kwani kuwa na Wanawake wa aina hii wanawaingiza Wanaume wao kwenye Mzigo wa gharama ya kulipa Madeni hayo ili kuwanusuru Wake zao na kuilinda Heshima ya Familia kutokana na aibu ya Madeni ambayo waliyakopa bila wao kushirikishwa.

Wakati mwingine kutokana na Madeni hayo, Wanawake hao huweza kupeleke hata kunyang'anywa baadhi ya mali za familia ili kufidia madeni yalikopwa na Wake zao. Fuatilia kadhia zinazowapata baadhi ya Wanawake kwenye VICOBA na jinsi baadhi ya Waume zao wanavyopata shida.

3. ๐–๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐•๐ข๐œ๐ก๐จ๐ฆ๐ข
Hawa ni wale Wanawake ambao wameolewa au wanaishi na Wanaume wao lakini wanawanyima kabisa Utulivu na Amani ya Akili Wanaume hao. Ni wanawake ambao mara zote Wanaume zao huwa hawapati Amani kuishi nao tu japo wanawakosesha raha.

Wanawatia stress Waume zao muda wote. Ndio hawa wanawake ambao baadhi ya Waume zao wanaona ni bora wakeshe kwenye Mabaa, Mipira na Matukio mbalimbali ya usiku ili tu kujitafutia Amani zao huko kuliko kuwa karibu na Vichomi hawa.

Wakati mwingine idadi ya Wajane inaongezeka kwasababu baadhi ya Wanaume wanakufa 'mapema' kutokana na shida hizi zitokanazo na Afya ya Akili hasa ukizingatia Wanaume wengi hawana njia nyingi za kuyatoa Mambo yao binafsi yanayowasibu.

4. ๐–๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐…๐š๐ฌ๐ก๐ข๐จ๐ง
Hawa ni wale Wanawake ambao hawako tayari kupitwa na Matoleo Mapya ya mavazi, vitu au matukio. Kila fashion mpya ya nguo, viatu, simu, magari, Laptops, misuko, sehemu za starehe na mengine mengi ni lazima tu watataka wasiachwe nyuma.

Kila matukio na wao watataka wawe sehemu ya ushiriki wao. Watahaha bila utulivu kwa kukopa Mabando ili tu watafute '๐ถ๐‘œ๐‘›๐‘›๐‘’๐‘๐‘ก๐‘–๐‘œ๐‘›๐‘ ' (Picha na Video za Utupu) za watu wengine ili wawe nao. Wanataka kwenda na wakati na kila kitu hata kama kitu hicho ni cha kipumbavu.

Wako tayari kuigiza maisha ili tu waonekane na wao wanaenda na wakati. Pale uchumi unapowabana na kuwafanya wakose kabisa kununua au kugharamia fashion hiyo Mpya, wanaweza hata kuazima mavazi na vitu hivyo kwa wengine na kupiga navyo picha na kuzipost ili kuuza nyago ili tu waonekane na wao wamo.

Wakati mwingine wanaweza kujiingiza kwenye gharama kubwa nje ya uwezo wao au hata kukopa ili kulitimiza kusudio hilo la kwenda na wakati huo. Hawa nao ni Wanawake hatari sana kwani wanaposhindwa kuyatimiza hayo kwa wao wenyewe au kwa gharama zao hawaoni hasara kuwabebesha Mizigo ya gharama Wanaume wao, gharama inayowapelekea Wanaume kujiingiza kwenye Lindi la Mawazo ya namna gani wajibane ili kufikia gharama hizo.

5. ๐–๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐•๐ข๐ฏ๐ฎ๐ซ๐ฎ๐ ๐ž
Ni wanawake ambao ni wavurugaji wa akili za Wanaume zao. Daima wamekuwa ni watu wa kuleta matukio mapya ambayo yanaivuruga kabisa akili ya Wanaume wao.

Ni aina ya Wanawake ambao usitegemee kupata utulivu, amani, maelewano na mshikamano. Ni rahisi sana kuwajua hawa wanapoolewa maana utulivu uliokuwepo miongoni mwa Wanafamilia hutoweka na kupotea kabisa mara tu baada ya wao kujiunga kwenye familia hiyo. Hawa wakishaolewa tu, Wanaume wasitegemee tena kupatana na Ndugu, Jamaa au hata Marafiki zao.

Ni Wanawake ambao mara nyingi wamekuwa ni wavurugaji wa amani ya kwenye familia, majirani au mtaani. Wapo kama hawapendi kuwaona watu wakiishi kwa Amani na Utulivu. Watatafuta kila aina ya chokochoko ili tu kuipoteza amani iliyopo.

Wanaweza wakaanzisha vurugu au kuingilia ugomvi ambao hauwahusu ilmradi tu walete chokochoko za kuvuruga au kutowesha amani. Wasipoileta mtaani basi wataileta kwenye familia hata kwa kuwachonganisha na kuwagombanisha Ndugu wa Mume.

Utawakuta Wanaume zao wakati mwingine wanapendelea kuwa karibu na wanawake wengine kuliko Wake zao ili waweze kutuliza akili zao, kupata faraja na amani. Na pindi Vivuruge hawa wakishajua Wanaume wao wapo karibu na Wanawake fulani, basi wataleta tena timbwili na hata kuwatuhumu kuwa na mahusiano na Wanaume wao.

๐™ธ๐š๐šŠ๐šŽ๐š—๐š๐šŽ๐š•๐šŽ๐šŠ....
 
Dawa ya mwanaume kuishi na mwanamke wa aina yoyote ni kuwa na akili kumshinda huyo mwanamke. Kuwa na uwezo kumpita huyo mwanamke (mali,fedha,), kuwa na uwezo wa juu wa kudhibiti mhemko.

Wanaume wengi wa sasa ni wategemezi karibu kwenye kila eneo. Thus why wanaingia hofu juu ya wanawake wanahisi wanawazidi vingi
 
Sasa ukute kuna mwanaume anaishi na mwanamke anayemiliki sifa zote zilizotajwa kwenye uzi ๐Ÿค”
Ndio maana wanaume tunawahi Sana kaburini
 
Wachumba 30, kama wimbo wa marehemu John Mjema... hawa vijana kizazi cha Z au kizazi Alpha hawawezi kumfahamu
 
Here's a billion dollars solution. Fuk the bitches, I mean it literally, fuk em! Drop em!

Dissappear like a chicken feather in a thunderstorm...
 
๐š‚๐šŽ๐š‘๐šŽ๐š–๐šž ๐™ธ

๐‘ต๐’‚. ๐‘ฑ๐’๐’‰๐’-๐‘ฉ๐’‚๐’‘๐’•๐’Š๐’”๐’• ๐‘ด. ๐‘ต๐’ˆ๐’‚๐’•๐’–๐’๐’ˆ๐’‚
_______________________
Moja ya tofauti iliyopo kati ya Mwanaume na Mwanamke ni kwamba Mwanaume anahitaji sana Utulivu na Amani ya Akili (Peace of Mind) wakati Mwanamke anahitaji sana Amani na Utulivu wa Moyo (Hisia). Mwanamke akiivuruga tu Akili ya Mwanaume, ategemee na yeye kuvurugwa Moyo wake.

Kichwa cha Mwanaume kina nafasi ndogo sana ya kujaza vurugu za Mwanamke. Kichwa kimoja cha Mwanaume kikishavurugwa tu na kichwa chake cha pili hakiwezi kufanya kazi zake sawa sawa. Kikivurugwa kichwa cha Juu na kichwa cha chini hakifanyi kazi yake ipasavyo. Na kikivurugwa kichwa cha chini, kichwa cha juu nacho hakitatulia.

Kuivuruga Akili ya Mwanaume, ni kumtafutia Magonjwa ya Akili. Afya ya Akili ya Mwanaume anategemea sana Amani na Utulivu anaoupata.

Aina zifuatazo za Wanawake, wanachangia pakubwa sana katika kuivuruga Afya ya Akili ya Wanaume na hivo kuwasababishia Matatizo makubwa sana kwa kujua au kitokujua:

1. ๐–๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐–๐š๐ง๐š๐ก๐š๐ซ๐š๐ค๐š๐ญ๐ข
Hii ni aina ya Wanawake ambao muda mwingi wamekaa kiuanaharakati wa kutetea haki sawa au usawa kati ya Wanaume na Wanawake. Hawa ndio wale wenye Misimamo ya 50/50. Na misimamo hiyo wanaionesha kwa maneno, matendo na mitazamo yao ya kifikra.

Hawaamini katika Uongozi wa Mwanaume kuwa Mwanaume ndiye Kichwa na Kiongozi wa Familia. Hawako tayari kujiweka chini ya Uongozi wa Mwanaume. Ni vigumu kwao kuwaomba ruhusa Waume zao ili kufanya Maamuzi fulani yanayohusu Maisha yao ya Familia.

Hawaheshimu Maamuzi ya Wanaume na wao wanajiona wana 'Final Say' (Kauli ya Mwisho) katika Familia. Panapotokea mvutano wa kimaamuzi kati yao na Wanaume, huwa hawawezi kustep down (kujishusha chini) na kuruhusu Maamuzi sahihi ya Wanaume yaongoze.

Hawa Wanawake ni hatari sana kwa Wanaume kwasababu kiasili, Wanaume ni wameumbwa na silika ya kuwaongoza Wake zao. Na daima watauonesha Ufalme (Pride) mbele ya Wanawake. Lakini, pale mambo yanapokuwa kinyume chake hasa Wanaume wanapohisi kutokuheshimiwa, kwa kawaida huwa wanakosa sana Utulivu na Amani ya Akili hasa wanapohisi kuwa Nyumbani kuna Madume wawili (Dume-Dume na Dume-Jike).

2. ๐–๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐Œ๐š๐๐ž๐ง๐ข
Hii ni aina ya Wanawake ambao wana madeni mengi kuliko hata zilivyo baadhi ya nchi za Kiafrika. Wanapenda sana kukopakopa hata kama hakuna sababu ya kukopa. Wanakopa kuliko ulivyo uwezo wao wa kuyalipa Madeni hayo. Wao kila wanapopaona pana uwezekano wa kukopa hela na wakapewa, basi watakopa.

Wakati mwingine wakidaiwa sana, wanakopa tena ila kulipa madeni. Yaani, wanalihamisha deni hapa na kulihamishia kwa wengine. Kibaya zaidi, hawajali kudaiwa na wakikopa huwa hawana kawaida ya kulipa kwa wakati ndio maana wanakuwa na mlundikano wa madeni.

Wanawake hawa ni hatari sana kwa Afya ya Akili na Uchumi wa Wanaume. Kwani kuwa na Wanawake wa aina hii wanawaingiza Wanaume wao kwenye Mzigo wa gharama ya kulipa Madeni hayo ili kuwanusuru Wake zao na kuilinda Heshima ya Familia kutokana na aibu ya Madeni ambayo waliyakopa bila wao kushirikishwa.

Wakati mwingine kutokana na Madeni hayo, Wanawake hao huweza kupeleke hata kunyang'anywa baadhi ya mali za familia ili kufidia madeni yalikopwa na Wake zao. Fuatilia kadhia zinazowapata baadhi ya Wanawake kwenye VICOBA na jinsi baadhi ya Waume zao wanavyopata shida.

3. ๐–๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐•๐ข๐œ๐ก๐จ๐ฆ๐ข
Hawa ni wale Wanawake ambao wameolewa au wanaishi na Wanaume wao lakini wanawanyima kabisa Utulivu na Amani ya Akili Wanaume hao. Ni wanawake ambao mara zote Wanaume zao huwa hawapati Amani kuishi nao tu japo wanawakosesha raha.

Wanawatia stress Waume zao muda wote. Ndio hawa wanawake ambao baadhi ya Waume zao wanaona ni bora wakeshe kwenye Mabaa, Mipira na Matukio mbalimbali ya usiku ili tu kujitafutia Amani zao huko kuliko kuwa karibu na Vichomi hawa.

Wakati mwingine idadi ya Wajane inaongezeka kwasababu baadhi ya Wanaume wanakufa 'mapema' kutokana na shida hizi zitokanazo na Afya ya Akili hasa ukizingatia Wanaume wengi hawana njia nyingi za kuyatoa Mambo yao binafsi yanayowasibu.

4. ๐–๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐…๐š๐ฌ๐ก๐ข๐จ๐ง
Hawa ni wale Wanawake ambao hawako tayari kupitwa na Matoleo Mapya ya mavazi, vitu au matukio. Kila fashion mpya ya nguo, viatu, simu, magari, Laptops, misuko, sehemu za starehe na mengine mengi ni lazima tu watataka wasiachwe nyuma.

Kila matukio na wao watataka wawe sehemu ya ushiriki wao. Watahaha bila utulivu kwa kukopa Mabando ili tu watafute '๐ถ๐‘œ๐‘›๐‘›๐‘’๐‘๐‘ก๐‘–๐‘œ๐‘›๐‘ ' (Picha na Video za Utupu) za watu wengine ili wawe nao. Wanataka kwenda na wakati na kila kitu hata kama kitu hicho ni cha kipumbavu.

Wako tayari kuigiza maisha ili tu waonekane na wao wanaenda na wakati. Pale uchumi unapowabana na kuwafanya wakose kabisa kununua au kugharamia fashion hiyo Mpya, wanaweza hata kuazima mavazi na vitu hivyo kwa wengine na kupiga navyo picha na kuzipost ili kuuza nyago ili tu waonekane na wao wamo.

Wakati mwingine wanaweza kujiingiza kwenye gharama kubwa nje ya uwezo wao au hata kukopa ili kulitimiza kusudio hilo la kwenda na wakati huo. Hawa nao ni Wanawake hatari sana kwani wanaposhindwa kuyatimiza hayo kwa wao wenyewe au kwa gharama zao hawaoni hasara kuwabebesha Mizigo ya gharama Wanaume wao, gharama inayowapelekea Wanaume kujiingiza kwenye Lindi la Mawazo ya namna gani wajibane ili kufikia gharama hizo.

5. ๐–๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐•๐ข๐ฏ๐ฎ๐ซ๐ฎ๐ ๐ž
Ni wanawake ambao ni wavurugaji wa akili za Wanaume zao. Daima wamekuwa ni watu wa kuleta matukio mapya ambayo yanaivuruga kabisa akili ya Wanaume wao.

Ni aina ya Wanawake ambao usitegemee kupata utulivu, amani, maelewano na mshikamano. Ni rahisi sana kuwajua hawa wanapoolewa maana utulivu uliokuwepo miongoni mwa Wanafamilia hutoweka na kupotea kabisa mara tu baada ya wao kujiunga kwenye familia hiyo. Hawa wakishaolewa tu, Wanaume wasitegemee tena kupatana na Ndugu, Jamaa au hata Marafiki zao.

Ni Wanawake ambao mara nyingi wamekuwa ni wavurugaji wa amani ya kwenye familia, majirani au mtaani. Wapo kama hawapendi kuwaona watu wakiishi kwa Amani na Utulivu. Watatafuta kila aina ya chokochoko ili tu kuipoteza amani iliyopo.

Wanaweza wakaanzisha vurugu au kuingilia ugomvi ambao hauwahusu ilmradi tu walete chokochoko za kuvuruga au kutowesha amani. Wasipoileta mtaani basi wataileta kwenye familia hata kwa kuwachonganisha na kuwagombanisha Ndugu wa Mume.

Utawakuta Wanaume zao wakati mwingine wanapendelea kuwa karibu na wanawake wengine kuliko Wake zao ili waweze kutuliza akili zao, kupata faraja na amani. Na pindi Vivuruge hawa wakishajua Wanaume wao wapo karibu na Wanawake fulani, basi wataleta tena timbwili na hata kuwatuhumu kuwa na mahusiano na Wanaume wao.

๐™ธ๐š๐šŠ๐šŽ๐š—๐š๐šŽ๐š•๐šŽ๐šŠ....
DU!! wanaume 2megeuzwa KALUNGU-YEYE!!
 
Kweli
 
Back
Top Bottom