mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,570
- 6,433
safari njemaNtaifuata tu sababu najua ntafikia kwenu
safari njemaNtaifuata tu sababu najua ntafikia kwenu
Ukiniuzi sikwambii wala nini,ila ntawasha mziki kwa saut ya juu af na mi naimba,sikusemeshi na kila kitu,ukinisemesha jibu ntakalokujibu lazima ukaweke kikao kwenu kulidiscusitaje labda kaisahau..

😀😀Ukiniuzi sikwambii wala nini,ila ntawasha mziki kwa saut ya juu af na mi naimba,sikusemeshi na kila kitu,ukinisemesha jibu ntakalokujibu lazima ukaweke kikao kwenu kulidiscus![]()
Jiandae kunipokeasafari njema
Hee!!! Kiburi mchongoko.Kabarikiwa kwa kweli....yani mi uniuzi nilie????hahahaha nna kiburi mchongoko

Bado,kuna huyu ambaye akikasikrika hutafuta simu na kuanza kusearch namba za ma ex boyfriend zake na kuanza kupanga miadi ya kufanya uovu kwa nia ya kukukomesha..
njoo tu utawakuta wapwa zake na pogba ndo wenye mamlakaJiandae kunipokea
Hiyo avatar tukufikirieje? CC jje's unamuona na huyu? Bado kazi tunayoYeye huwa anapenda
" wowowo " hata posti zake za insta na whatsapp ni " wowowo " tu ndiyo nikaamua kumwambia hivyo, daaah alitukana balaa....![]()
![]()
![]()
![]()
WEWE UKIKASIRIKA UNAKUWAJEKweli kabisa, baadhi wakikasirika wanaishia kulia, hasira zinawajaa, anatamani kumkunja aliyemkera lakini ghafla nguvu zinamuisha anaendeleza msiba.
Hahahahaa! Mie tunamalizana hapo hapo, jino kwa jino. Baada ya hapo amani na upendo vinatawala.WEWE UKIKASIRIKA UNAKUWAJE
Ipi iyoHahaha. Ila hasira bana, mie hiyo namba moja ilitaka kunitawala halafu nikaiona sio kabisa sababu kila nikipatwa na hasira lazima macho yawe mekundu tu.
Niliyonayo kwa sasa hapo haipo kwa kweli. Teh
HahahahaaaIpi iyo
Unacheka me zangu Uwa naruka kichura chura au nabeba vyumaHahahahaaa
Huyo ni pumbavu sana, na itanitokea muda si mrefu nimeshaona taa nyekundu. Sio mke lakin ni GF tu.Bado,kuna huyu ambaye akikasikrika hutafuta simu na kuanza kusearch namba za ma ex boyfriend zake na kuanza kupanga miadi ya kufanya uovu kwa nia ya kukukomesha..
c.c: miss chagaIli ufanyaje ukishajua...unajua nabembelezeka na hela tu