Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,455
Hahahaaa. Hongera zako hivyo baada ya hapo hasira zako zote kwisha. LolUnacheka me zangu Uwa naruka kichura chura au nabeba vyuma
Hahahaaa. Hongera zako hivyo baada ya hapo hasira zako zote kwisha. LolUnacheka me zangu Uwa naruka kichura chura au nabeba vyuma
Ww unanifaa,nyie ndo mkiliaga mnazidi kuwa wazuri!!Mie hua Roho inaniuma naliaaaaaaaaa kwa kwi kwi,na macho yangu yalivyo makubwa lazima unionee huruma..
NITAKUTAFUTA SIKU MOJA NIKIJA HUKO DAR NIKUCHOKOZEHahahahaa! Mie tunamalizana hapo hapo, jino kwa jino. Baada ya hapo amani na upendo vinatawala.
Wanatakani kupokea baadala ya kutoa (vijana wanadai kupakatwa)nashangaa sana wanaume wa hivi, sijui wanataman kuwa KE
loooh
ha ha ha.....,!Bibi Yenu Huwa Akikasirika Mimi Nachota Maji Namlaowanisha Hasira Kwisha Tunafungulia Mziki Soukous Star Mama Rhoda Tunasakata Mpaka Mwisho Na Ugomvi Unaisha Hapo Wanawake Ni Akili Tu
Huyu hata mkiachana kuna siku atakupigia simu akakitunuku pindi ataka kasirishwaBado,kuna huyu ambaye akikasikrika hutafuta simu na kuanza kusearch namba za ma ex boyfriend zake na kuanza kupanga miadi ya kufanya uovu kwa nia ya kukukomesha..
Lemgo langu nifurahi
VizuriLemgo langu nifurahi
poapoaVizuri
yaani maombi yangu ya kila siku kwa kizazi changu, Mungu awaepushe kabisa vijana wangu wa kiume kutegemea wanawakeWanatakani kupokea baadala ya kutoa (vijana wanadai kupakatwa)