Aina ya Wanaume WATONGOZAJI kwa vigezo vya sababu...

Aina ya Wanaume WATONGOZAJI kwa vigezo vya sababu...

Hahahaha inabidi iwe mistari ya uhakika lol!!! Ukija na tumistari twahovyo hovyo utatoka kapa. Yaani nikikuwazia unashusha mistari sina mbavu lol!!! Hakuna kutafuna kucha shurti uniangalie usoni lol!!!

ha haaa, lol!
ngoja nianze ku-cram mistari ya kushusha
 
Hahahaha inabidi iwe mistari ya uhakika lol!!! Ukija na tumistari twahovyo hovyo utatoka kapa. Yaani nikikuwazia unashusha mistari sina mbavu lol!!! Hakuna kutafuna kucha shurti uniangalie usoni lol!!!
ha ha haaaa, si ndo maana hapa naumiza kichwa! najua lazima nije na mistari ya uhakika....
ila nimekumbuka, si huwa watu wanaandikiwa mistari? ngoja nitafute nguli wa kuandika mistari, ku-cram hakuna noma.....
we nicheke tu saa hizi, ila siku nikikutokea usinichekeshe, sawa? naweza shindwa kushusha mistari yangu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Rafiki FP I'll assist you on this. On June 15th clear your calendar for special mtoko (hili neno nalo utafikiri tusi lol!) to celebrate Father's day. Dinner & Dance on my account. Please make sure you use this special occasion to your advantage kwa kushusha mistari ya uhakika bila kujiumauma au kushusha mistari huku ukiwa umeangalia chini hahahah lol! utajijuuuuuu!!!!

Good day 🙂🙂



ha ha haaaa, si ndo maana hapa naumiza kichwa! najua lazima nije na mistari ya uhakika....
ila nimekumbuka, si huwa watu wanaandikiwa mistari? ngoja nitafute nguli wa kuandika mistari, ku-cram hakuna noma.....we nicheke tu saa hizi, ila siku nikikutokea usinichekeshe, sawa?
naweza shindwa kushusha mistari yangu
 
Last edited by a moderator:
Hii ndio sababu inayo ongoza kwa sababu zote za akina baba/kaka kutogoza. Uzuri, Urembo, Mvuto wa dada/mama husika hucheza nafasi kubwa ya mtongozaji kuvutiwa hadi akataka kuwa na wewe. Hii hutokana na ukweli kuwa kiasi kikubwa cha wanaume anapotongoza malengo yake inakuwa kukupata na kuweza kufanya sex na mwanamke huyo. Hata hivyo vivutio vimetofautiana, kuna wale wanafutiwa na miguu, wengine sura, wengine midomo na wengine weengi makalio (kwa kaka/baba zetu hawa wa kibongo).
nimependa zaidi hilo neno maana linatambulisha ukanda ulee, ndugu tuko wengi hapa jukwaani
 
LEO NACHANGIA KAMA NILIVOAHIDI AshaDii
naaza na hapo pa wa kuzugia
mimi kipindi changu flani cha mapito nilivokuwa nimeachana na mpenzi wangu nikaona niwe na mtu ..si unajua mkono mtupu haulambwi? ukiachwa ukiwa na mwingine around uchungu unapungua sio sawa na bure
so bahati zuri nikawa nimempata huyu bwana wa kuzugia....simpendi ,simjali...no future plan yaani sikuwa na time nae kiviile ..yaani nikijisikia kiuchungu ndo namtafuta ila yeye akinitafuta kama nipo kwenye mood nzuri maxcuses kibao
basi bwana..huyu kaka kwa kweli..tulienda nae kama miezi mitatu hivi sasa akawa anataka tunda..duh ilikuwa ngumu maana yaani alikuwa akitaka hata kunibusu tu nilikuwa naganda kama nimewekwa kwenye fridge.....mwishoni nilivorecover nikaishia zangu na life yangu...ila jamaa alikuwa mzuri kweli kwa show off
cc@Fp, Babu Dc
 
Wanaume wenye tabia kama zako ni wengi ang i hate this kind of habit tena mwingine bila aibu anatangaza kabisa kwa wenzake unajua pale napata hiki kifupi we ulikuwa unatoa rushwa ya ngono hata kama we ni mwanaume hata ukiipa majina mengine na sijui utato maisha yako yote ili upate favour?
Nimefurahi jinsi ulivyo nifungukia, ile kweli ilikuwa Rushwa ya ngono ndiyo maana hata mimi najutia kile kitendo.
 
demu wa kuzugia
  1. unakuwa naye mradi tu na wewe uonekane una mtu ila huna upendo wowote kwake
  2. ni special kwa mgegedo tu
  3. mda wowote anaweza kuachwa coz hayupo kwenye mind na moyoni mwako pia
  4. na kadhalika....
yes unaweza mwambia msichana niko na wewe kwa kuzugia tu ila hatari yake unaweza achwa au kama ndo unamuapproch waweza kataliwa na kwa mwingine anaweza kubali coz hata yeye anaweza kuwa na wewe kwa kuzugia tu.
asili ya neno demu wa kuzugia ni maneno tu ya mtaani.


wewe umewahi kuwa wa kuzugia? kwa mtu?
 
himidini, wala hata usishangae.... Lol. Wacha wanawake tuitwe wanawake, na ndio maana john gray alisema "men are from mars, women from venus".

Mwanamke mdogo ambae ndio kwanza anajifunza mapenzi... Ni mwepesi wa kuamini kila kitu (na hivi kaka zetu wote mlijaliwa kuigiza when it comes to kumtaka mwanamke); inakua ni rahisi.

But with time wanawake wengi hujua kuwa anadanganywa... Ila shida huja kama kuna kitu anapata/taka kwako. Unaweza dhani kuwa wewe ndio mjanja na wamrubuni, kumbe anajua nini anafanya na nini anataka. Pamoja na kuwa wanawake wanachezewa hapa mjini... wanaume ni balaa! Wanaume huchezewa sana na wapenzi/wenza/galfriends zao na kamwe hata asijue.

mwisho wa siku inakuwa ni win win situation.



hapo kweli dada umenipa somo zuri,ni vigumu sana kwa mwanaume kujua kama anachezewa na siku zote
sisi ndo tunajiona tunawachezea. Kumbe lolote linawezekana
 
Rafiki FP I'll assist you on this. On June 15th clear your calendar for special mtoko (hili neno nalo utafikiri tusi lol!) to celebrate Father's day. Dinner & Dance on my account. Please make sure you use this special occasion to your advantage kwa kushusha mistari ya uhakika bila kujiumauma au kushusha mistari huku ukiwa umeangalia chini hahahah lol! utajijuuuuuu!!!!

Good day 🙂🙂


ha haaa, for sure I cant miss this for anything.........
ngoja niandae kiwalo changu, lol!
na kupanga mistari kabisaaaaaaa!
au sina haja tena ya kupanga mistari rafiki?
nahisi kama kazi imeshaisha kabla sijaianza....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Ujumbe kwa akina dada/mama wenzangu:-

Kuna wakati ni mtihani kujua mwanaume anakutongoza kwa ajili gani. Ila siku zote tunacheza na insticts na pengine kuingia katika mahusiano kana kwamba wacheza kamali. All in all kuna wale ambao wapo so obvious na ni rahsi kujua sababu ya yeye kukutongoza. Faida ya kujua hilo ni wewe kutoa maamuzi kama upo tayari uwe nae kwa vigezo ambavyo vimemfanya aje kwako.

Naomba michango yenu ladies and Gentlemen. Nawategemea.

Pamoja saana,:grouphug:

AshaDii.

Do they ever learn?...............and far more important: Do they even care?
 
Malimbuko ni kile kitu chako cha kwanza ambacho unakifanya iwe ni biashara sasa ile faida ya kwanza unayopata, unatoa sadaka, au kama uko kazini ule mshahara wako wa kwanza kuupata kama umeanza kazi mpya basi unatoa sadaka, au iwe mifugo yule mnyama wa kwanza kumfuga na akazaa wengine yule wa kwanza unamtoa sadaka, hata wanaisrael walipokuwa utumwani walimtolea malimbuko Mungu wao hivyo nawe una budi kutoa hiyo sadaka, nadhani mpaka hapo umenielewa vyema, je una jingine?
hahahaha!!! Nieleweshe ni kitu gani hiyo Malimbuko kama nitaweza nitekeleze kama namna gani vipi unisaidie
 
Back
Top Bottom